Ads: info@gazetini.co.tz |
22 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mainoo apigwa ‘stop’ kuondoka United

MANCHESTER, UingerezaLICHA ya Kobbie Mainoo kuomba kuondoka kwa mkopo, Manchester United imemwambia kiungo huyo abaki na kuipambania namba kikosini.Kwa sasa, klabu kadhaa za Ulaya...

Tottenham yakaribia kumnasa Simons

LONDON, UingerezaKLABU ya Tottenham iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Uholanzi, Xavi Simons.Kwa...

Mourinho afutwa kazi Fenerbahce

ISTANBUL, UturukiKLABU ya Fenerbahce imetangaza kumfungashia virago kocha wake raia wa Ureno, Jose Mourinho 'Special One' ukiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiriwa.Hatua ya...

Alexander-Arnold, Grealish waachwa kikosini England

LONDON, UingerezaKOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, hajamjumuhisha beki Trent Alexander-Arnold katika kikosi kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu Kombe la...

Urusi yaua watatu, yajeruhi 24 Ukraine

KYIV, UkraineSHAMBULIZI la asubuhi ya leo lililofanywa na Urusi nchini Ukraine mjini Kyiv limesababisha vifo vya watu watatu, akiwamo mtoto.Aliyethibitisha kutokea kwa shambulio hilo...

Blair akutana na Trump kuijadili Gaza

LOS ANGELES, MarekaniWAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amekutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, ajenga ikiwa ni namna ya kumaliza mgogoro...

Amorim akiri wachezaji wake kupoteana uwanjani

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema timu yake ilipoteza dira ndani ya uwanja na hiyo ikasababisha itolewe kwenye michuano ya Carabao Cup.Man...

Soka la Ujerumani na changamoto ya ubaguzi wa rangi

MUNICH, UjerumaniLICHA ya jitihada kubwa za Chama cha Soka, klabu na baadhi ya mashabiki, bado imeonekana ni ngumu kuondosha vitendo vya ubaguzi dhidi ya...

Madrid sasa hesabu zao kwa Mainoo

MADRID, HispaniaVIGOGO wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid, wanaipigia hesabu saini ya kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo.Madrid sasa inaungana na...

Galatasaray watua England kumfuata Bissouma

LONDON, UingerezaWAKONGWE wa Ligi Kuu ya Uturuki, Galatasaray, wameripotiwa kuitaka saini ya kiungo wa ulinzi wa Tottenham, Yves Bissouma.Nyota huyo raia wa Mali hajacheza...

Vazquez aondoka La Liga, atua Leverkusen

MADRID, HispaniaWINGA wa kimataifa wa Hispania, Lucas Vazquez, ametimka Real Madrid na kujiunga na Bayer Leverkusen akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake...

Vardy kumalizia soka Serie A?

MILAN, ItaliaBAADA ya kuachwa na Leicester City, huenda Jamie Vardy akajiunga na moja ya klabu za Ligi Kuu ya Italia (Serie A).Vardy (38), kwa...

Recent articles

spot_img