MADRID, Hispania
KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric, amekiri kuwa anatamani kurejea Real Madrid kwa gharama yoyote.
Modric aliondoka katika klabu hiyo ya Ligi Kuu...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
ZIMEBAKI siku mbili tu na safari hii ngoma inapigwa katika Uwanja wa Uhuru, huku timu zote zikiwa zimekusanya pointi 18 katika...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
Kampuni ya Halotel imeahidi kutoa huduma ya intaneti bure katika shule nchini, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kusaidia kukuza elimu...
MILAN, Italia
RIPOTI kutoka nchini Italia zinadai kuwa AC Milan inamtolea macho kiungo wa Brighton ya England, Yasin Ayari.
Usajili huo umependekezwa na kocha wa sasa...
LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester United, Arsenal na Chelsea ziko kwenye vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Freiburg ya Bundesliga na timu ya...
BEIJING, China
LICHA ya kushika nafasi ya pili katika viwango vya ubora duniani, staa wa tenesi, Aryna Sabalenka, amejikuta akitolewa kwenye michuano ya China Open.
Hii...
LISBON, Ureno
LICHA ya yote yaliyotokea, kiungo wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Bruno Fernandes, anaamini bado Cristiano Ronaldo anapaswa kupewa heshima anayostahili.
Kauli...
MADRID, Hispania
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Santi Cazorla, anaamini winga wa Barcelona, Lamine Yamal, ana kila sababu ya kutwaa tuzo ya mwaka huu ya...
CAIRO, Misri
TUZO za mwaka huu za Shirikisho la Soka barani Afrika zitatolewa Desemba 7, 2026 katika hafla itakayofanyika jijini Lagos, Nigeria.
Kama itakumbukwa, hii...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amefanya ziara 18 za nje ya nchi tangu aliporejea madarakani na Ulaya ndilo eneo alilotembelea zaidi .
Ziara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mwaka 2025, Ukraine ndiyo nchi iliyopokea misaada mingi ya nje kutoka Marekani. Taifa hilo la Ulaya Mashariki lilipokea Dola za...