Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametangaza msamaha wa faini zote kwa wananchi waliokuwa wakidaiwa na Mamlaka za Maji nchini, hatua inayolenga kuwapunguzia...
Na Mwandishi Wetu
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amemhakikishia ushirikiano Katibu Mkuu wa Jukwaa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Kampuni ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango maalum kwa ajili ya sekta ya usafirishaji wa mizigo mikubwa nchini kwa kuzindua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama wengine wa chama hicho wametangaza kujitoa katika chama hicho kwa...
Na Mwandishi Wetu
Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Zambia kimeanza mkoani Songwe , kujadili mpango kazi wa uimarishaji mpaka wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano la kwanza nishati safi ya kupikia la Afrika Mashariki...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Magereza nchini limepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya 'Mother of the Nation Order' kutoka kwa Rais...