10.1 C
New York

Mnyama Simba anaendelea kuweka hadharani vifaa vyake vipya

Published:

Na Mwandishi Wetu

Klabu ya Simba leo Julai 30, 2025, imemtambulisha Alassane Kante raia wa Senegal , akitokea CA Bizertin ya Tunisia.

Kiungo huyo mkabaji mwenye umri wa miaka 24, amesaini mkataba wa miaka miwili.

Wanamsimbazi hao walianza rasmi jana kuanika usajili wao kwa kumtambulisha beki Rushine De Reuck raia wa Afrika Kusini akitokea klabu ya Mamelody Sundowns.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img