Ads: info@gazetini.co.tz |
22 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Kagera Sugar rasmi yashuka daraja

Na Mwandishi Wetu Kutokana na ushindi wa Pamba Jiji wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold, umeishusha rasmi daraja Kagera Sugar ambayo kwa nafasi na pointi...

Rais Samia aongoza  mazishi ya Hayati Cleopa Msuya,  ataja mambo ya kujifunza

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...

Jeshi la Polisi lataja sababu ya kumkamata kiongozi wa Chadema

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Naibu Katibu Mkuu  Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aman Golugwa...

Bosi DRFA afungiwa  na TFF miaka sita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA),Ramadhan Missiru amefungiwa na Kamati ya Maadili ya Soka Tanzania...

Sakata lake na Harmonize, Ibraah ashusha pumzi Basata

Na Mwandishi Wetu Baada ya kutoka ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Abdallah 'Ibraah', amesema ishu yake Konde...

Viongozi wa Serikali waongoza  wakazi wa Mwanga kuaga mwili wa  Hayati Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Viongozi mbalimbali na   wakazi wa Mwanga na maeneo ya jirani kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na...

TFF kumpata mshirika wa ‘kubeti’

Na Mwandishi Wetu Shirikisho wa Soka Tanzania(TFF),limesema kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika wa michezo ya kubashiri(kubeti) katika mashindano yake yote. Kwa mujibu wa...

Dar yaongezwa majimbo mawili ya uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imeanzisha majimbo mapya nane ya uchaguzi na kubadilisha majina ya majimbo 12 ambapo Mkoa wa...

Tanzia: Charles Hillary afariki dunia

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary, amefariki dunia...

Bonanza la JWTZ la basketball, handball lafana Morogoro

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupitia timu teule za mpira wa kikapu na mpira wa mikono limejivunia mafanikio ya...

Robert Prevost atangazwa Papa mpya

Na Mwandishi Wetu Papa mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, ametangazwa ni Kardinali Robert Francis Prevost(69), raia wa Marekani na amechagua jina la Papa Leo XIV. Amechaguliwa...

Waziri Masauni, Umoja wa Ulaya wajadili Mazingira

Mwandishi Maalum-Denmark Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni ameelezea mkakati wa Tanzania katika utekelezaji wa programu za...

Recent articles

spot_img