Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Vijana na tatizo la ajira duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini TATIZO la ajira kwa vijana limeendelea kuzalisha maandamano katika nchi mbalimbali duniani, safari hii India ikichukua nafasi. Hamasa ya vijana wa Chama...

Nyota zao zimewaka kupitia Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...

Meneja wa muziki ataka kujiua

LAGOS, Nigeria MENEJA maarufu wa wasanii wa muziki nchini Nigeria, Ubi Franklin, amefichua kuwa aliwahi kukaribia kujiua kwa kujirusha darajani jijini Lagos. Franklin ameanika hayo kupitia...

Chelsea yashusha kiungo, asaini minne

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imetangaza usajili wa kiungo kutoka Wigan Athletic, Harrison Bettoni, ambaye amesaini mkataba wa miaka minne. Bettoni (18), alikuwa mchezaji muhimu katika...

Nyota mpya Arsenal apewa jezi yake

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Arsenal, Christos Tzolis, amekabidhiwa jezi namba 17 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL) na michuano...

Man City yamfungia kazi Mbaye

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inakazania mpango wa kumsajili mshambuliaji anayetaka kuondoka PSG, Ibrahim Mbaye. Kwa sasa, taarifa zinaeleza kuwa Man City imeanza mazungumzo na...

Al-Hilal yatua kwa Dembele

PARIS, Ufaransa MATAJIRI wa klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia wanapambana kuinasa saini ya mshambuliaji wa PSG raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele. Al-Hilal wameibuka wakati huu...

Man United yamvalia njuga beki Colombia

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaacha kuipigania saini ya beki wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Colombia, Jhon Lucumi. Nyota huyo wa...

ICC yakomalia uhalifu dhidi ya binadamu Sudan

HAGUE, Uholanzi MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeendelea kulaani kinachoendelea Sudan, ikisema upo ushahidi wa uwepo wa matukio ya uhalifu dhidi ya...

Guardiola atarejesha ufalme wa Italia?

LONDON, Uingereza SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka...

A-Z ya mashuti, asisti, mabao Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...

‘Kufuru’ ya fedha Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani KWA kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka huu (2026), timu ya soka ya Taifa ya Hispania imelamba kitita cha Dola za Marekani...

Recent articles

spot_img