5.7 C
New York

Busungu achukua fomu kuwania urais

Published:

Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu.
 mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha rais na makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA).

Mgombea huyo aliambatana na mgombea mwenza, Ali Makame Issa
leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.

Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Georges Busungu na Mgombea Mwenza, Ali Makame Issa (kushoto) wakionesha mkoba baada ya kukabidhiwa na Tume katika Ofisi za Tume Njedengwa, jijini Dodoma leo Agosti 11, 2025. (Picha na INEC)

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img