Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Ajali ya basi yaua watu 27 wakienda kanisani

HARARE, Zimbabwe WAUMINI wa Kikiristo takribani 27 waliokuwa wanakwenda kanisani wamepoteza maisha baada ya basi lao dogo kupata ajali nchini Zimbabwe. Kwa mujibu wa taarifa ya...

Huyu kuziba pengo la Alvarez pale Arsenal

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameingia kwenye mazungumzo ya kumsajili staa wa Lille ya Ufaransa, Matias Fernandez-Pardo. Licha ya Arsenal kuitaka saini yake, pia...

Grealish atakiwa Sunderland

LONDON, Uingereza KLABU ya Sunderland imeanza kuiwinda saini ya winga wa kimataifa wa England, Jack Grealish, kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider. 'Black Cats' wanaitaka...

Moyes abeba lawama za mashabiki Everton

MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Everton, David Moyes, ameungana na mashabiki wa timu hiyo akisema walikuwa sahihi kwa kile walichokifanya wakati wa mchezo wao wa sare...

Rais wa Ecuador atupwa jela kwa rushwa

QUITO, Ecuador RAIS wa zamani wa Ecuador, Lenín Moreno, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya rushwa. Mwanasiasa huyo...

Man City yatua kwa Gakpo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo na Liverpool ikijaribu kuishawishi iwauzie winga raia wa Ureno, Cody Gakpo. Man City imechukua hatua huku dirisha kubwa...

Kesi ya uhaini inavyowatesa wanasiasa wa upinzani Afrika

LUSAKA, Zambia KIONGOZI wa siasa za upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile, na mgombea mwenzake wake katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, Makebi Zulu, wameshikiliwa na...

Kivuli cha Lungu kinamfuata Rais Hichilema?

LUSAKA, Zambia LICHA ya kutangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa hivi karibuni, Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, anakabiliwa na presha kubwa ya ‘kumtuliza’ mpinzani wake,...

Selena Gomez na mkasa wa utapeli

LOS ANGELES, Marekani UNAMFAFAMU Selena Gomez? Bibiye anayefanya vizuri kwenye soko la muziki nchini Marekani, pia akiwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa...

Afrika na kigezo cha ‘digrii’ kuwania urais

Na mwandishi wetu, Gazetini KENYA imetangaza kuondosha kigezo cha kuwa na Shahada ya chuo kikuu kama kigezo cha mgombea wa kiti cha urais. Hii ni...

Jesus sasa kutimkia Atletico

LONDON, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa Arsenal raia wa Brazil, Gabriel Jesus, yuko mbioni kujiunga na wakongwe wa La Liga, Atletico Madrid. Mtaalamu wa habari za usajili...

Ronaldo mfungaji bora wa muda wote Al-Nassr

RIYADH, Saudi Arabia NAHODHA wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo. Ronaldo ameandika historia hiyo jana Agosti...

Recent articles

spot_img