Na Mwandishi Wetu, Gazetini
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa linamshikilia Waziri wa zamani, Geoffrey Mwambe, kwa tuhuma za jinai...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ALIYEKUWA Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma.
Kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
JESHI la Polisi nchini limesema kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama litaendelea kuimarisha hali ya usalama nchini na kulinda...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, wakijikita katika kudumisha ushirikiano wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura kuhakikisha ukamataji wa watuhumiwa unafanywa kwa kufuata...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Novemba 7, 2025 kwa michezo miwili kupigwa ambapo Yanga na Azam zimefanikiwa kuondoka na alama...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SIMBA imepoteza mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa na Stade Malien ugenini nchini Mali.
Mchezo...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' amewaomba wadau na wadhamini kujitokeza kusapoti ushiriki wa wanawake katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kufikisha umeme kwenye vijiji na maeneo ya pembezoni mwa...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema yuko tayari kuitwa na Sekretarieti...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na...
Na Mwandishi Wetu,Gazetini
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa ya kuahirisha hafla ya utoaji tuzo za msimu wa 2024/25 ziliyopangwa kufanyika Desemba 5, 2025,...