Ads: info@gazetini.co.tz |
28.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Boti  ya mirungi kutoka Kenya yanaswa Tanga

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga, limekamata boti aina ya fibre, iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya...

CCM yaja na mbinu mpya kudhibiti uzushi

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutumia nembo maalumu (QR Code) ya utambuzi wa taarifa zake ili kuzuia  na kudhibiti uzushi na upotoshaji. Kupitia...

Kenya yajitoa  mashindano ya  CECAFA 

Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imejiondoa katika mashindano maalumu ya CECAFA  yaliyopangwa kuanza leo Julai 21,2025 jijini Arusha  kwa ajili  ya maandalizi...

Maajabu ya Betty Malange yazidi kupaa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwimbaji anayekuja kwa juu kwenye muziki wa Injili nchini, Betty Malange, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi makubwa ya wimbo wake unaoitwa...

Jonathan Budju kuachia ‘Ebenezer’ Julai 25

Na Christopher Msekena Mwimbaji  nyota wa Injili kutoka nchini Canada, Jonathan Budju, amefanya hafla ya kusikiliza albamu yake fupi (EP),  Ebenezer itakayotoka mapema wiki ijayo...

Madai ya dada wa Polepole , Polisi yachunguza 

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  limesema limepokea taarifa za kuchukuliwa na watu asiowafahamu na  kurejeshwa  kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la...

Kiungo Moussa  Conte rasmi atambulishwa Yanga

Na Mwandishi Wetu Mabingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania, Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Moussa Bala Conte...

Rais Samia atoa  wito utekelezaji Dira ya Taifa 2050, afurahishwa na Dk. Mpango

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ambapo ametoa maagizo kwa taasisi za umma na sekta...

Ally Kamwe akiri kuvutiwa na TshabalalaNa Mwandishi Wetu

Na Mwandishi Wetu Ofisa Habari wa klabu  ya Yanga Ally  Kamwe amesema licha ya kuwa yupo upande mwingine lakini ni shabiki mkubwa wa wachezaji  wa Simba, Mohammed Hussein...

Nkane, Kibwana wajitosa kwenye ndondi, kuzichapa Julai 26 Dar

Na Mwandishi Wetu Wachezaji wa Yanga, Kibwana Shomari na Denis Nkane wamajitosa kwenye mchezo wa ngumi ambapo Julai 26, 2025 wanatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa katika...

Chelsea abeba ubingwa wa Dunia

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu kwa kuchapa PSG mabao 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa...

Polepole ajiuzulu Ubalozi

Na Mwandishi Wetu Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na nafasi nyingine za uongozi wa Umma kuanzia...

Recent articles

spot_img