LAGOS, Nigeria
MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Remi Aluko, amefichua kuwa macho yake yamepoteza uwezo wa kuona.
Katika mahojiano yake na kituo cha runinga cha Oyinmomo, amesema...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MACHO yote yataelekezwa Mexico ifikapo Juni 11, 2026 kushuhudia mchezo wa ufunguzi wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu,...
NEW YORK, Marekani
KUNA uhitaji mkubwa wa asali nchini Marekani baada ya kiwango cha uzalishaji kushika kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea, kwa mujibu wa...
NEW YORK, Marekani
NI kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa (UN), kwamba takribani visa 10,000 vya unyanyasaji wa kingono viliripotiwa katika maeneo...
LONDON, Uingereza
ZIMABEKI siku tisa tu. Ni fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026 huko Marekani, Canada na Mexico, zikitarajiwa kufanyika kwa mwezi...
BEIJING, China
WABUNGE nne wa New Zealand wamewekewa katazo la kuingia China baada ya ziara yao nchini Taiwan.
Kwa mujibu wa taarifa, ziara hiyo iliwahusisha wabunge...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna taifa linaloweza kubaki nyuma katika dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia, akili bandia...
LAGOS, Nigeria
STAA wa muziki nchini Nigeria, Chinedu Okoli, maarufu kwa jina la Mr Flavour, ameweka wazi kuwa ni ngumu kwake kuwa kwenye mahusiano na...
NEW DELHI, India
RAIA wa kigeni 21, wakiwamo wa Nigeria, Msumbiji na Liberia, wamepoteza maisha katika ajali ya moto iliyotokea katika hoteli moja mjini Delhi.
Wizara...