NABATIEH, Lebanon
Pande mbili hizo zimeingia kwenye mapigano ya muda mrefu sasa, hasa tangu Hezbollah ilipoamua kuisaidia Iran ilipoanza kushambuliwa na Marekani na Israel mwanzoni...
KYIV, Ukraine
RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amemuomba mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, wakutane na kuzungumza juu ya kumaliza vita vinavyoendelea kati ya mataifa mawili...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon, amesema wasanii wengi wa sanaa hiyo wana majina makubwa lakini hawana...
Na Mwandishi Wetu
Zaidi ya waogeleaji 400 wenye umri wa miaka 6 hadi 12 wanatarajiwa kushiriki Mashindano ya vilabu kwa nchi za Afrika Mashariki yatakayofanyika...
BUDAPEST, Hungry
HIVI unafahamu kuwa hakuna timu ya soka ya taifa yenye wastani mzuri wa mabao ya kufunga kuliko Hungary katika historia ya fainali za...
LOS ANGELES, Marekani
TIMU ya mawakili wa Sean Combs 'Diddy' inapambana kupinga hukumu aliyopewa rapa huyo anayeendelea kusota gerezani tangu Oktoba, 2025, akitumikia kifungo cha...
MADRID, Hispania
WINGA wa zamani wa Real Madrid, Angel Di Maria, amesema zama za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutawala mijadala ya soka zimekwisha.
Di Maria...
MILAN, Italia
KLABU ya Napoli imetangaza kuachana na kocha wake, Antonio Conte, akiwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake.
Mwaka mmoja uliopita, Conte aliyewahi kuzinoa Inter...
LONDON, Uingereza
MIAKA ya hivi karibuni imewashuhudia makocha waliokabidhiwa mikoba ya kuzinoa timu kubwa za Ligi Kuu ya England (EPL) wakipitia nyakati ngumu, wengi wakishindwa...
LOS ANGELES, Marekani
TAARIFA ya Serena Williams kutaka kurejea katika tenesi imeshangaza wapenzi wa tenesi duniani kutokana na umri mkubwa wa staa huyo.
Licha ya umri...
MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER United imekamilisha usajili wa Ederson kutoka Atalanta ya Serie A, kocha Michael Carrick ametaka kiungo mwingine wakati huu wa dirisha kubwa la...