Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
MAUAJI yanafafanuliwa kisheria, si kwa maoni ya jamii, na kifungu husika ni cha 196. 'Murder' hutokea pale mtu anaposababisha kifo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametoa rai dhidi ya vitendo vya kueneza chuki za kidini...
MANCHESTER, Uingereza
RADA za maskauti wa Manchester United zimemnasa beki wa pembeni wa Borussia Dortmund, Julian Ryerson. Anatakiwa Old Trafford kwa ajili ya msimu ujao.
Ryerson...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imeanza harakati za kumsajili moja kwa moja beki wake wa mkopo, Piero Hincapie.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, amekuwa...
MERSEYSIDE, Uingereza
KUNA uwezekano mkubwa huu ukawa msimu wa mwisho kwa kocha raia wa Uholanzi, Arne Slot, kuliongoza benchi la ufundi la Liverpool.
Wamiliki wa klabu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao.
Mfano wa hivi karibuni ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imeziagiza menejimenti za viwanda mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuongeza uzalishaji wenye tija na...
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Sir Keir Starmer, amesema serikali yake itashirikiana kwa karibu na sekta zilizoathirika pamoja na washirika wa kimataifa ili kukabiliana...
CAIRO, Misri
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza kuzisogeza mbele fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake (WAFCON).
Awali, michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Marchi 17, 2026, lakini...
MILAN, Italia
KLABU mbili za Ligi Kuu ya Italia (Serie A), Inter Milan na Juventus, zinapigana vikumbo kuiwania saini ya kipa wa Liverpool, Alisson Becker.
Becker...