Ads: info@gazetini.co.tz |
24.8 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

JKT Queens na matumaini nusu  fainali CAFWCL mbele ya TP Mazembe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Baada ya timu ya JKT Queens kutoa sare mbili mfululizo Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika (CAFWCL), bado ina matumaini ya kutinga...

Morice Abraham; Kivuli cha ‘Miquissone’ kinachoipa jeuri Simba

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA siku za hivi karibuni, jina la Morice Abraham limekuwa kwenye mijadala ya soka hapa nchini na kwa sasa ni kipenzi...

Bunge lamthibitisha Dk. Mwigulu kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, asubiri uapisho

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Dk. Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania akichukua nafasi ya Kassim Majaliwa,...

Hii hapa ratiba ya fainali za EURO 2028

LONDON, UingerezaSHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limeshatangaza ratiba ya fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, maarufu kwa jina la 'Euro 2028'.Ratiba inaonesha kuwa...

Mashabiki waziponza Al Ahly, Zamalek

CAIRO, MisriVURUGU za mashabiki wa Al Ahly na Zamalek katika 'derby' ya Super Cup zimesababisha klabu hizo kutozwa faini ya LE 100,000 (zaidi ya...

Kane aingia rada za mabosi Barcelona

CATALUNYA, HispaniaMATAJIRI wa klabu ya Barcelona wanaangalia uwezekano wa kuinasa huduma ya mpachikaji mabao wa Bayern Munich, Harry Kane.Mpango wa kumsajili Muingereza huyo umelenga...

Mke amtaka Oscar kuacha soka

RIO, BrazilSTAA wa zamani wa Chelsea, Oscar, huenda akatangaza kutundika daluga kutokana na ushauri wa mkewe na familia.Oscar mwenye umri wa miaka 34, kwa...

Joshua, Paul sasa kuzichapa Desemba

LONDON, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea vizuri kati ya kambi za mabondia Anthony Joshua na Jake Paul.Taarifa zinasema wawili hao watarushiana makonde katika pambano...

JKT Queens yalazimishwa sare, yaisubiri TP Mazembe

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, JKT Queens, wamelazimishwa sare ya bao 1-0...

Ramaphosa amjibu Trump ‘kususia’ Mkutano G20

JOHANNESBURG, Afrika Kusini RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemkosoa mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kwa hatua yake ya kugoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa G20...

Kashfa ya rushwa yang’oa mawaziri Ukraine

KYIV, Ukraine MAWAZIRI wawili wa Serikali ya Ukraine wametangaza kujiuzulu baada ya kashfa ya rushwa kuitikisa sekta ya nishati nchini humo. Waliotangaza kuachia ngazi ni...

Dk. Mpango: “Sauti ya NEMC isiwe ya mtu aliye nyikani”

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais mstaafu wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa Serikali kuongeza nguvu na mamlaka zaidi kwa Baraza la...