LAGOS, Nigeria
WAKATI huu kukiwa na mfululizo wa matukio ya utekaji yanayofanywa na vikundi vya waasi nchini Nigeria, Waziri wa Ulinzi ametangaza kujiuzulu. Hata hivyo,...
MADRID, Hispania
ENDAPO Xabi Alonso hakutakuwa na mabadiliko katika mechi chache zijazo, mabosi wa Real Madrid watamfuta kazi kocha wao raia wa Hispania, Xabi Alonso....
YOUNDE, Cameroon
MLINDA mlango wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Trabzonspor ya Uturuki, Andre Onana, hajaitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon. Cameroon...
YOUNDE, Cameroon
TAHARUKI imetawala nchini Cameroon baada ya mwanasiasa mkongwe wa upinzani, Anicet Ekane, kufariki akiwa anashikiliwa na vyombo vya dola, ikiwa ni wiki tano...
LOS ANGELES, Marekani
BINGWA wa ngumi za uzito wa juu duniani, Oleksandr Usyk, amemtaja Deontay Wilder kuwa ndiye bondia anayetamani kuzichapa naye katika pambano lijalo....
MERSEYSIDE, England
ZIMEKUWAPO taarifa za Arne Slot kuondoka Liverpool, ikielezwa kuwa huenda mabosi wa klabu hiyo watamfungashia virago. Taarifa za kocha huyo wa kimataifa wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WATUMISHI watatu wa kada ya afya, akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Urambo, wamesimamishwa kazi kufuatia sakata la mgonjwa kudaiwa kubakwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Dunia leo Desemba 1, 2025, inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani, huku Umoja wa Mataifa ukitoa onyo kali kuhusu mustakabali wa mapambano...
ABUJA, Nigeria
Watu wenye silaha wamewateka nyara takriban watu 20, wakiwemo mchungaji wa kanisa na bibi harusi, katika mashambulizi mawili tofauti yaliyotokea nchini Nigeria katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SIMBA imepoteza mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa na Stade Malien ugenini nchini Mali.
Mchezo...
CAIRO, MisriFAINALI za mwaka huu za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Desemba 21, mwaka huu, na zitafikia ukomo Januari...
CAIRO, MisriFAINALI za mwaka huu za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Desemba 21, mwaka huu, na zitafikia ukomo Januari...