Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Ndege iliyopotea kuanza kutafutwa Desemba 30

KUALA LUMPUR, Malaysia IKIWA ni miaka 14 imepita tangu ilipopotea, Serikali ya Malaysia itaanza tena operesheni ya kuisaka ndege yake aina ya Boeing 777. Kwa...

Kocha Tottenham alia na VAR

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank, amesema lilikuwa ni kosa kubwa kwa teknolojia ya VAR kuwapa penalti wapinzani wao, Newcastle United, katika mchezo wa...

Mke wa rais kutupwa jela miaka 15?

SEOUL, Korea ya Kusini WAENDESHA mashitaka wa Korea Kusini wameiomba Mahakama imuhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani aliyekuwa mke wa Rais wa zamani, Yoon Suk...

Trump: Sitaki kuona Wasomali hapa Marekani

WASHINGTON DC, Marekani NI agizo la Rais wa Marekani, Donald Trump, akisema hataki kuona wahamiaji wa Somalia wakiingia na kuishi nchini kwake. Katika Mkutano wake...

Familia yahofia Khan amefariki gerezani

ISLAMABAD, Pakistan KWA sasa, familia ya Imran Khan inahofia kuwa huenda Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Pakistan amefariki akiwa gerezani. Khan alikuwa Waziri Mkuu...

Tume yaundwa kuchunguza ajali ya moto

VICTORIA, Hong Kong KIONGOZI wa Hong Kong, John Lee, ameunda Tume ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu takribani 151. Jumatano...

Pantev ataondoka, tatizo litabaki Simba

Na Hassan Mwasha, Gazetini SIMBA haijapata ushindi katika mechi mbili za hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Kwa ufupi, iko...

UN: Watu 300,000 wamekimbia makazi Msumbiji

MAPUTO, Msumbiji UMOJA wa Mataifa (UN) umekiri kupata wasiwasi juu ya machafuko yanayoendelea Kaskazini mwa Msumbiji na kudai kuwa watu takribani 300,000 wamekimbia makazi yao....

Mgombea urais anusurika kuuawa

LIMA, Peru MGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu wa Peru unaotarajiwa kufanyika Aprili, mwakani, Rafael Belaunde, amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi. Belaunde alishambuliwa na watu...

Trump amtoa gerezani rais aliyehukumiwa miaka 45

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez, ametoka gerezani kwa msamaha wa Rais wa Marekani, Donald Trump. Orlando Hernandez alikuwa akitumikia...

Maelfu waandamana wakitaka Serikali ijiuzulu

SOFIA, Bulgaria MAANDAMANO makubwa yameibuka katika Jiji la Sofia, Bulgaria, ambapo maelfu ya wananchi wameingia barabarani wakishinikiza Serikali kujiuzulu. Taarifa za awali juu ya maandamano...

Urusi yatangaza kuteka mji Ukraine

MOSCOW, Urusi SERIKALI ya Urusi kupitia kwa Msemaji wake, Dmitry Peskov, imetangaza kile ilichokiita kuwa ni ushindi baada ya kuteka mji ulioko Mashariki wa Donetsk,...