MANCHESTER, UingerezaMKONGWE wa Ligi Kuu ya England, Gary Neville, amemtaka Mikel Arteta kuachana na mbinu zake.Kauli ya beki huyo wa zamani wa Manchester United...
Na Onesmo Kapinga, Gazetini
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewaasa waandishi wa habari nchini, kujiepusha kuchapisha, kutangaza habari zenye lengo la...
LONDON, UingerezaULIMWENGU wa michezo umetikiswa na kifo cha lejendari wa ngumi za uzito wa 'light welter' nchini Uingereza, Ricky Hatton.Kwa mujibu wa polisi wa...
MERSEYSIDE, UingerezaUSHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Burnley umeifanya Liverpool kuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya England (EPL) kushinda mechi...
PRETORIA, Afrika KusiniSAA 72 tu baada ya kumfuta kazi Nasreddine Nabi, mabosi wa Kaizer Chiefs wamemtangaza kocha mpya.Pedro Goncalves, raia wa Ureno mwenye umri...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hafikirii kubadili mbinu anazotumia, licha ya wengi kukosoa kiwango cha timu hiyo.Man United imekuwa na mwanzo...
PARIS, UfaransaLUCA Zidane ambaye ni mtoto wa mkongwe Zinedine, amechagua kuitosa Ufaransa na sasa ataonekana akiwa na timu ya taifa ya Algeria.Nyota huyo anakidhi...
Na mwandishi wetu, GazetiniHIVI karibuni, klabu kongwe za soka hapa nchini, Simba na Yanga, zilikuwa 'bize' kwa shamrashamra za matamasha yake ya ufunguzi wa...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
Kampuni ya Halotel kupitia huduma yake ya kifedha Halopesa imezindua kampeni mpya inayokwenda kwa jina la “Tamba na Bonasi”, ili kuwazawadia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKUU wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...
BOGOTA, ColombiaRIPOTI mpya ya Taasisi ya Global Witness imeitaja Colombia kuwa ndilo Taifa lenye idadi kubwa ya mauaji ya wanaharakati wa mazingira.Kwa mwaka jana...
LONDON, UingerezaKIUNGO wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey, amekanusha mashitaka ya ubakaji yaliyofunguliwa dhidi yake na wanawake wawili.Nyota huyo wa kimataifa wa Ghana anatajwa...