25.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Obama amvaa Trump, aionya Marekani

WASHINGTON DC, MarekaniRAIS wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amesema kwa sasa nchi hiyo inapitia wakati mgumu kisiasa, labda kuliko nyakati zote kuwahi kutokea.Obama...

Man United yavunja rekodi mapato ya mwaka

MANCHESTER, UingerezaLICHA ya kutokufanya vizuri uwanjani, klabu ya Manchester United imevunja rekodi ya mapato yake baada ya kukusanya Pauni milioni 666.5 kwa mwaka jana.Ndani...

Simba na Yanga zasababisha kifo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mabishano ya  ushabiki wa  Yanga na Simba yamesababisha kifo cha mwanaume mmoja aliyefahamika  kwa jina la Evaristo Mwambogolo (28), mkulima na...

Simba, Yanga kusaka heshima kimataifa

Na Winfrida Mtoi Timu za Simba na Yanga leo zimeondoka nchini leo kwa ajili ya kwenda kucheza michezo yao raundi ya kwanza ya Ligi ya...

Mechi tatu kuamua hatima ya Ruben Amorim?

MANCHESTER, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa matokeo ya mechi tatu zijazo ndiyo yatakayoamua hatima ya kibarua cha kocha wa Manchester United, Ruben Amorim.Man United inasota msimu huu...

Mata wa Chelsea atua kwa wapinzani Australia

MELBOURNE, AustraliaKIUNGO wa zamani wa Chelsea na Manchester United, Juan Mata, amesajiliwa na Melbourne Victory inayoshiriki Ligi Kuu ya Australia.Msimu uliopita. Mata mwenye umri...

Yanga yafikisha mabao matano ya ‘derby’

Na Hassan MwashaKATIKA mechi sita za 'derby' ya Ngao ya Jamii, imekuwa ni mara ya tatu kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0...

Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba

Na Mwandishi Wetu Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya leo kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii kwa mara nyingine ikiifunga ikishinda bao 1-0 katika...

Chama aipa heshima Singida BS

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama yamefanikisha timu ya Singida Bs kutwaa ubingwa wa michuano ya Cecafa Kagame Cup kwa kuifunga Al...

Mgombea urais aahidi kumuajiri Klopp

BENFICA, UrenoHAITASHANGAZA kuona kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, akiajiriwa kuliongoza benchi la ufundi la Benfica.Ndiyo, mmoja ya wagombea wa nafasi ya urais...

Makocha Yanga, Simba wavimbiana

Na Winfrida Mtoi Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kesho Septemba 16,2025, makocha wa Simba na Yanga, Fadlu  Davids na Romain Folz, kila mmoja ametambia...

Rooney asema Amorim ameshindwa kazi United

MANCHESTER, UingerezaKWA mujibu wa Wayne Rooney, Manchester United imekuwa mbovu zaidi chini ya kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim.Man United, mabingwa mara 20 wa...