23.3 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Kidao aondolewa  TFF

Na Mwandishi Wetu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Kidao Wilfred. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo...

Dogo Red, Wiz Designer kutikisa Afrika Mashariki

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MSANII wa kizazi kipya mwenye makazi yake Atlanta, Marekani, Dogo Red, ametamba kutikisa Afrika Mashariki na video ya wimbo Vanessa aliowashirikisha...

Chart| Kilimanjaro kinara kwa idadi ya wazee Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KULINGANA na takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini...

TCCIA: Rostam Aziz ni mfano bora wa kuigwa kwa wawekezaji nchini

*Yagusia suala la Tancoal Na Mwandishi Wetu, Gazetini CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imetoa rai kwa Serikali kuweka sera madhubuti zitakazowawezesha Watanzania kushiriki...

Madeuke nje ya uwanja kwa wiki sita

LONDON, UingerezaKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, atamkosa kwa wiki sita hadi nane winga wake mpya, Noni Madueke, baada ya nyota huyo kupata majeraha ya...

Simbu afichua siri ya ushindi

Na Winfrida Mtoi,Gazetini Bingwa wa Dunia wa mbio za Marathoni za kilomita 42, ambaye ni Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce...

Joe Biden amemaliza urais, amebaki na madeni

Na Mwandishi Wetu, Gazetini AKIWA na umri wa miaka 82, Joe Biden aliondoka madarakani na kumpisha Donald Trump aliyeshinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana...

Pamba Jiji yaja na mbinu kuimaliza Yanga

Na Winfrida Mtoi Kocha Mkuu wa timu ya Pamba Jiji, Francis Baraza amesema hana presha yoyote kuelekea mchezo wao wa  kesho dhidi yaYanga  kutokana na...

Vijana Afrika na ndoto za maisha bora Ulaya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TAKRIBANI asilimia 60 ya vijana wa Afrika wanaamini watapata maisha bora endapo wataondoka na kwenda 'kupambana' nje ya Bara hili. Wengi wao...

Kocha Simba aaga, arejea Raja Casablanca

Na Mwandishi Wetu Baada ya kutoonekana na timu wakati ikirudi kutoka Botswana ilipokwenda mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, Kocha Mkuu...

Utafiti: Kukosa usingizi chanzo ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUKOSA muda wa kutosha wa kulala, hasa nyakati za usiku, kunaweza kusababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya...