Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

World

Mykhailo Fedorov kumvaa Zelensky kiti cha urais?

KYIV, Ukraine UKIWA ni mwezi mmoja tangu alipojiuzulu katika nafasi yake ya Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov ameibuka na kauli zinazoashiria kuwa amejipanga kumvaa aliyekuwa...

Chuki dhidi ya wageni; ‘Wasauzi’ wanawafundisha nini viongozi Afrika?

Na Hassan Mwasha, Gazetini RAIA wa kigeni zaidi ya 17,600 wameondoka Afrika Kusini tangu Aprili, 2026 kutokana na vurugu walizofanyiwa na wenyeji wao. ‘Wasauzi’ hawataki...

Utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu Zambia

LUSAKA, Zambia KIONGOZI wa siasa za upinzani nchini Zambia kupitia Chama cha National Reconciliation Party for Unity, Brian Mundubile, ameyapinga matokeo yaliyomrejesha madarakani Rais Hakainde...

Rio: Arteta anabeba tena EPL

LONDON, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemtabiria kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, kutwaa tena taji la Ligi Kuu ya England (EPL)...

Bibi wa miaka 101 akamatwa kwa kuuza bangi

LAGOS, Nigeria KIKONGWE mwenye umri wa miaka 101, bi. Esther Ogunmabo, anashikiliwa na polisini nchini Nigeria kwa kosa la kuuza dawa za kulevya aina ya...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (7)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu iliyopita, tuliona Israel, Uingereza na hata India zikisitisha mahusiano ya kidiplomasia na Uganda ya Idi Amin, huku Libya, Umoja...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (6)

Na mwandishi wetu, Gazetini TULIISHIA wapi? Katika sehemu ya tano ya makala haya, tuliishia tukio la Juni 25, 1976, ambapo Baraza la Ulinzi la Uganda...

Salah kazi imeanza, atupia mawili Uturuki

ISTANBUL, Uturuki MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Mohamed Salah, amefunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza aliyoingia 'first eleven' akiwa na timu yake mpya...

ANC imepoteza ushawishi siasa za Afrika Kusini?

Na mwandishi wetu, Gazetini VURUGU na chuki dhidi ya wageni zina uhusiano wa moja kwa moja na maisha magumu walionao wananchi wa Afrika Kusini katika...

Chama tawala kilichogeukia siasa za upinzani

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI fulani, Peoples Democratic Party (PDP) kilikuwa Chama tawala nchini Nigeria. Chama kikongwe kilichoasisiwa mwaka 1998. Kwa miaka 16, kabla ya kuangushwa...

Rais Bola Tinubu kurudi madarakani?

LAGOS, Nigeria KAMPENI kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Januari, 2027, zilianza wiki hii nchini Nigeria. Rais aliyeingia madarakani mwaka 2023, Bola Tinubu, anagombea muhula wake wa...

Umiliki wa silaha kwa raia tatizo sugu Thailand

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU tatu tu baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kuua wenzake nane kwa kuwamiminia risasi, lilitokea tukio jingine lenye...

Recent articles