Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

World

Man City yamfungia kazi Mbaye

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inakazania mpango wa kumsajili mshambuliaji anayetaka kuondoka PSG, Ibrahim Mbaye. Kwa sasa, taarifa zinaeleza kuwa Man City imeanza mazungumzo na...

Al-Hilal yatua kwa Dembele

PARIS, Ufaransa MATAJIRI wa klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia wanapambana kuinasa saini ya mshambuliaji wa PSG raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele. Al-Hilal wameibuka wakati huu...

Man United yamvalia njuga beki Colombia

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaacha kuipigania saini ya beki wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Colombia, Jhon Lucumi. Nyota huyo wa...

Meya wa New York arudi nyuma kumkamata Netanyahu

NEW YORK, Marekani MEYA wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema hana mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo...

ICC yakomalia uhalifu dhidi ya binadamu Sudan

HAGUE, Uholanzi MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeendelea kulaani kinachoendelea Sudan, ikisema upo ushahidi wa uwepo wa matukio ya uhalifu dhidi ya...

Guardiola atarejesha ufalme wa Italia?

LONDON, Uingereza SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka...

A-Z ya mashuti, asisti, mabao Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...

‘Kufuru’ ya fedha Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani KWA kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka huu (2026), timu ya soka ya Taifa ya Hispania imelamba kitita cha Dola za Marekani...

Anthony Taylor amestaafu kwa heshima, alinusurika kichapo

LONDON, Uingereza BAADA ya miaka 20 ya kufanya kazi, akichezesha mechi 831, mwamuzi wa kati raia wa England, Anthony Taylor, alitangaza kustaafu hivi karibuni. Mechi yake...

Dawa za kulevya ‘zamaliza’ vijana Ujerumani

MUNICH, Ujerumani IDADI ya vifo vya vijana vitokanavyo na utumizi wa dawa za kulevya imeripotiwa kuongezeka kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja nchini Ujerumani. Kwa mwaka...

Kiwango cha umasikini duniani

NEW YORK, Marekani MIAKA 10 iliyopita, Umoja wa Mataifa ulipitisha azimio la kumaliza aina zote za umasikini, kuhakikisha usawa katika jamii, pamoja na kudhibiti majanga...

Hii kiboko! Marais hawaendi uwanjani Argentina ikicheza

BUENOS AIRES, Argentina HIVI unafahamu kuwa marais wa Argentina wamekuwa makini kuhudhuria viwanjani na wengine hubaki nyumbani pindi timu yao ya soka ya Taifa inapocheza...

Recent articles