Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

World

Marais ‘wazee’ waliogoma kuachia madaraka Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini PAUL Biya wa Cameroon ana umri wa miaka 93. Amekuwa Ikulu tangu mwaka 1982 na sasa anatumikia muhula wake wa nane...

Mkataba wa mafuta na Marekani; faida au hasara kwa Venezuela?

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imeuita kuwa ni ‘mkataba bora zaidi wa mafuta katika historia ya dunia’. Ni mkataba unaoipa Marekani sehemu ya akiba ya mafuta...

Usajili wa bei mbaya unavyokosa matokeo Tottenham

LONDON, Uingereza TOTTENHAM imepoteza mechi zote mbili ilizocheza msimu huu wa Ligi Kuu ya England. Ilifungua pazia kwa kufungwa mabao 3-0 na Brighton, kabla ya...

Kwanini bado Afrika inaagiza vyakula kutoka nje?

CAIRO, Misri AFRIKA hutumia zaidi ya Dola za Marekani bilioni 100 kila mwaka kuagiza vyakula kutoka nje, huku wataalamu wakihimiza juhudi za makusudi za kupunguza...

Mourinho aipeleka Ballon d’Or kwa Mbappe

MADRID, Hispania KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, amesema mshambuliaji wake raia wa Ufaransa, Kylian Mbappe, anastahili tuzo ya mwaka huu ya Ballon d’Or. Akizungumza kuelekea...

Watatu waomba kuondoka Tottenham

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Roberto De Zerbi, amefichua kuwa mastaa wake watatu kikosini wameomba kuondoka klabuni hapo. Zerbi raia wa Italia, ameenda mbali zaidi na...

Messi apachika manne ‘wakiua’ 7

MIAMI, Marekani NAHODHA wa Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Lionel Messi, ameingia kambani mara nne katika ushindi wa mabao 7-1 walioupata dhidi...

Ajali ya basi yaua watu 27 wakienda kanisani

HARARE, Zimbabwe WAUMINI wa Kikiristo takribani 27 waliokuwa wanakwenda kanisani wamepoteza maisha baada ya basi lao dogo kupata ajali nchini Zimbabwe. Kwa mujibu wa taarifa ya...

Huyu kuziba pengo la Alvarez pale Arsenal

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameingia kwenye mazungumzo ya kumsajili staa wa Lille ya Ufaransa, Matias Fernandez-Pardo. Licha ya Arsenal kuitaka saini yake, pia...

Grealish atakiwa Sunderland

LONDON, Uingereza KLABU ya Sunderland imeanza kuiwinda saini ya winga wa kimataifa wa England, Jack Grealish, kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider. 'Black Cats' wanaitaka...

Moyes abeba lawama za mashabiki Everton

MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Everton, David Moyes, ameungana na mashabiki wa timu hiyo akisema walikuwa sahihi kwa kile walichokifanya wakati wa mchezo wao wa sare...

Man City yatua kwa Gakpo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo na Liverpool ikijaribu kuishawishi iwauzie winga raia wa Ureno, Cody Gakpo. Man City imechukua hatua huku dirisha kubwa...

Recent articles