Ads: info@gazetini.co.tz |
20.2 C
Dar es Salaam

World

Klabu 5 zinazomsubiri Ferran Torres

LONDON, Uingereza KATIKA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizomalizika hivi karibuni, Ferran Torres ndiye aliyefunga bao pekee lililoipa ubingwa timu ya...

Italia ya ‘mababu’ Mancini, Ranieri itavuna nini?

MILAN, Italia ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...

Umeipata hii? J-Lo ndani ya penzi jipya

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina na mafanikio makubwa kwenye soko la muziki nchini Marekani, Jennifer Lopez 'J-Lo', amenasa kwa mshikaji anayefahamika kwa jina la...

Keyshia Cole, Skrilla mambo kwa ushahidi!

LOS ANGELES, Marekani PICHA zinazowaonesha mastaa wa muziki Keyshia Cole na Skrilla zimeibua tetesi kuwa huenda wawili hao sasa ni wapenzi. Katika moja ya picha alizoposti...

Amorim: Sikuwa peke yangu kuifelisha United

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim, amedai kuwa hapaswi kulaumiwa kwa kufeli kwake klabuni hapo. Kwa mujibu wake, lawama zinapaswa kuelekezwa kwa...

Familia inayomlilia mwanasiasa wa upinzani anayesota gerezani

TUNIS, Tunisia BADO hakuna taarifa rasmi za mamlaka juu ya anakotibiwa mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Rached Ghannouchi. Wapo wanaosema yuko hospitali ya umma na...

Jeshi la Mali dhidi ya waasi walioungana

BAMAKO, Mali KWA sasa, jeshi la Serikali ya Mali liko kwenye wakati mgumu kupigana na muungano wa vikundi viwili vya kigaidi, Azawad Liberation Front (FLA)...

Shatta Wale afunguka ugomvi wake na Burna Boy

ACCRA, Ghana STAAA wa muziki nchini Ghana, Shatta Wale, ameeleza kilichosababisha uhusiano wake mbaya na mkali wa Afrobeats, Burna Boy. Wawili hao waliwahi kuwa washikaji wakubwa,...

Alonso afunga mjadala kuhusu Welbeck

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, amezipotezea taarifa zinazoihusisha klabu hiyo na usajili wa straika wa zamani wa Arsenal, Danny Welbeck. Wakati huo huo, Mhispania...

Chicharito atua Daraja la Kwanza

DALAS, Marekani UNAMKUMBUKA straika wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya soka ya Taifa ya Mexico, Javier Hernandez ‘Chicharito’? Mwamba bado anakipiga. Akiwa...

Arsenal, Vinicius Jr dili lao liko hivi

LONDON, Uingereza WAKATI huu Real Madrid ikijaribu kumshawishi Vinicius JR kusaini mkataba mpya, Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil. Huu ni...

Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA El Mayo. Ndilo jina maarufu zaidi kuliko Ismael Zambada alilopewa na wazazi wake, akiwa pia ndiye muasisi wa genge hatari la...

Recent articles