Ads: info@gazetini.co.tz |
20.2 C
Dar es Salaam

World

Kocha atimka Man United kisa ‘ubahili’ sokoni

MANCHESTER, Uingereza PIGO zito! Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya klabu ya Manchester United, Marc Skinner, amejiuzulu, zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya...

Davido kuibukia uigizaji wa ‘muvi’

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Davido, ameeleza nia yake ya kuwa mwigizaji kwenye soko la filamu nchini Nigeria (Nollywood). Katika mahojiano yake ya hivi...

Infantino anyoosha mikono, aachana na mpango wake

NYON, Uswis HATIMAYE Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuachana na mpango wake wa kuuza hisa za Kombe la Dunia...

Kocha Bafana Bafana aachia ngazi

PRETORIA, Afrika Kusini LICHA ya kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' kufika hatua ya mtoano katika fainali za Kombe la...

Howe kuachia benchi Newcastle

LONDON, Uingereza HUENDA kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, akaachia ngazi katika benchi la ufundi la timu hiyo, kwa mujibu wa mwandishi wa habari maarufu,...

Arteta asema msimu ujao wanabeba tena

LONDON, Uingereza KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewaahidi makubwa mashabiki wa timu hiyo, akisema watarajie tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL). Arsenal walimaliza msimu...

‘Ronaldo, Messi hawajamfikia Okocha’

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa Afrobeats, Burna Boy, amemtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mchezaji wake bora, akiwatupa kando Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Katika mahojiano yake...

Diomande: Kutoka mtaani hadi kufanya kazi na Jay Z

MADRID, Hispania BAADA ya miezi mingi ya tetesi, ni rasmi sasa Yan Diomande amejiunga na Real Madrid akitokea RB Leipzig ya Ligi Kuu nchini Ujerumani...

Wageni watakaza au watarudi ‘mchangani’ EPL 2026-27?

LONDON, Uingereza KAMA ilivyo kawaida, katika kila msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL), huwa kuna timu tatu zilizopanda daraja. Safari hii (2026-27), ni...

Vita ya makocha wapya EPL 2026-27

LONDON, Uingereza MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) utaanza Agosti 21, 2026, ukitarajiwa kumalizika Mei 30, 2027. Ni msimu wa 35 tangu michuano...

Mjukuu wa Idi Amin na ndoto za ‘kuiteka’ dunia

KAMPALA, Uganda NDOTO kubwa aliyonayo Aziz Abdul, ambaye ni mjukuu wa Rais wa zamani wa Uganda, Idi Amin, ni kuiteka dunia kupitia mchezo wa ngumi....

Kesi kifo cha Tupac bado ya moto

LOS ANGELES, Marekani MAHAKAMA mjini Nevada, Marekani, imetaka mahojiano ya mtuhumiwa wa mauaji ya rapa Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' yawasilishwe kama ushahidi wakati...

Recent articles