Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

Michezo

Makocha waliofungashiwa virago msimu huu

LONDON, UingerezaNI wiki chache tu zimepita tangu msimu huu (2025-26) wa soka la Ulaya ulipoanza lakini tayari baadhi ya makocha wameonja 'joto la jiwe'...

Waziri Mkuu azomewa Chelsea ikiambulia sare

LONDON, UingerezaWAKATI Chelsea ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Brentford jana, hali ilikuwa mbaya kwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliyekuwa uwanjani akifuatilia mchezo huo...

Martial aondoka Ugiriki, atua Mexico

ATHENS, UgirikiMSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial, amekamilisha usajili wa kujiunga na Monterrey ya Mexico.Nyota huyo anaungana beki wa zamani wa Real...

Ngao ya Jamii Zanzibar kuchezwa kesho

Na mwandishi wetu, GazetiniMCHEZO wa Ngao ya Jamii kati ya Mlandege FC na KMKM SC unatarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex,...

Mtaalamu wa usajili Arsenal kutua Brighton

LONDON, UingerezaALIYEWAHI kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Arsenal, Jason Ayto, anajiandaa kuanza ajira yake mpya katika klabu ya Brighton.Mei, mwaka huu, Ayto aliondoka Arsenal...

Mourinho aikomoa Fenerbahce, achota bil. 25/-

INSTANBUL, UturukiKLABU ya Fenerbahce ya Uturuki italazimika kumlipa Jose Mourinho kiasi cha Pauni milioni 7.7 (zaidi ya Sh bil. 25 za Tanzania) baada ya...

Ronaldo mwanamichezo ghali zaidi duniani

LONDON, UingerezaCRISTIANO Ronaldo ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka jana, akivuna mara mbili zaidi ya mpinzani wake, Lionel Messi.Kwa mwaka jana...

Everton yanogewa kumbakiza Grealish

MERSEYSIDE, UingerezaMABOSI wa Everton wanaangalia uwezekano wa kumsajili moja kwa moja winga wao wa mkopo kutoka Manchester City, Jack Grealish.Grealish amekuwa moto wa kuotea...

Chelsea yafunguliwa mashitaka 74

LONDON, UingerezaKLABU ya Chelsea imefunguliwa mashitaka 74 yanayohusu malipo yake kwa mawakala wa wachezaji.Mashitaka hayo ya Chama cha Soka cha England (FA) ni juu...

Onana rasmi ajiunga na Trabzonspor

ISTANBUL, UturukiMLINDA mlango wa kimataifa wa Cameroon, Andre Onana, amejiunga na Trabzonspor ya Uturuki akitokea Manchester United kwa mkopo wa msimu mmoja.Usajili huo ulikamilishwa...

Tembo Warriors yatinga nusu fainali CECAAF

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Burundi Timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu Tanzania 'Tembo Warriors' imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Afrika...

Simba Day ina wenyewe bwana!

Na Winfrida Mtoi, Gazetini MASHABIKI wa timu ya Simba wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha wanashuhudia kilele cha Simba Day leo Septemba 10, 2025, burudani kutoka kwa...

Recent articles