Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Michezo

Simba, Yanga kusaka heshima kimataifa

Na Winfrida Mtoi Timu za Simba na Yanga leo zimeondoka nchini leo kwa ajili ya kwenda kucheza michezo yao raundi ya kwanza ya Ligi ya...

Mechi tatu kuamua hatima ya Ruben Amorim?

MANCHESTER, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa matokeo ya mechi tatu zijazo ndiyo yatakayoamua hatima ya kibarua cha kocha wa Manchester United, Ruben Amorim.Man United inasota msimu huu...

Mata wa Chelsea atua kwa wapinzani Australia

MELBOURNE, AustraliaKIUNGO wa zamani wa Chelsea na Manchester United, Juan Mata, amesajiliwa na Melbourne Victory inayoshiriki Ligi Kuu ya Australia.Msimu uliopita. Mata mwenye umri...

Yanga yafikisha mabao matano ya ‘derby’

Na Hassan MwashaKATIKA mechi sita za 'derby' ya Ngao ya Jamii, imekuwa ni mara ya tatu kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0...

Yanga yaendeleza ubabe kwa Simba

Na Mwandishi Wetu Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya leo kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii kwa mara nyingine ikiifunga ikishinda bao 1-0 katika...

Chama aipa heshima Singida BS

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama yamefanikisha timu ya Singida Bs kutwaa ubingwa wa michuano ya Cecafa Kagame Cup kwa kuifunga Al...

Mgombea urais aahidi kumuajiri Klopp

BENFICA, UrenoHAITASHANGAZA kuona kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, akiajiriwa kuliongoza benchi la ufundi la Benfica.Ndiyo, mmoja ya wagombea wa nafasi ya urais...

Makocha Yanga, Simba wavimbiana

Na Winfrida Mtoi Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kesho Septemba 16,2025, makocha wa Simba na Yanga, Fadlu  Davids na Romain Folz, kila mmoja ametambia...

Rooney asema Amorim ameshindwa kazi United

MANCHESTER, UingerezaKWA mujibu wa Wayne Rooney, Manchester United imekuwa mbovu zaidi chini ya kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim.Man United, mabingwa mara 20 wa...

CAF yaipiga faini Simba, kucheza bila mashabiki

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya Dola za Marekani 50,000 ( zaidi ya Sh. 100 milioni) na kuamriwa kucheza bila...

Simbu aweka rekodi ya pekee Tanzania, Rais Samia ampongeza

Na Mwandishi Wetu Mwanariadha Alphonce Simbu ameweka rekodi ya kuwa mwanariadha wa kwanza Tanzania  kushinda medali ya dhahabu katika mbio za riadha za Dunia 2025...

Yamal, De Jong kuikosa Newcastle

CATALUNYA, HispaniaKOCH wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa atamkosa mshambuliaji wake, Lamine Yamal, katika mchezo wa Alhamisi ya wiki hii dhidi ya Newcastle United.Wakati...

Recent articles