Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Stars kumaliza ‘uteja’ kwa Morocco?

Na mwandishi wetu, Gazetini NI JUMAPILI ya wiki hii, Januari 4, 2025. Taifa Stars itakapoumana na Morocco katika mchezo wa hatua ya 16 Bora ya...

Taifa Stars yafuzu 16 bora AFCON

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TIMU ya Taifa ya Tanzania ' Taifa Stars' imefuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON 2025 kama 'best loser'...

SMZ yapongeza udhamini mnono wa NMB Mapinduzi Cup

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa mashindano ya Mapinduzi Cup...

Nani kuvaa viatu vya Guardiola akiondoka City?

MANCHESTER, Uingereza WIKI iliyopita, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alisema klabu hiyo inapaswa kujiandaa na maisha mapya bila uwepo wake kwenye benchi la ufundi. Mhispania...

Mabondia matajiri zaidi duniani

LOS ANGELES, Marekani UKIWEKA kando soka, masumbwi ni mchezo mwingine unaofuatiliwa zaidi, ukifuatiwa na mpira wa kikapu. Takwimu zinaonesha hivyo. Kutokana na ushawishi wake duniani, mchezo...

Asafiri kwa baiskeli akiifuata AFCON

RABAT, Morocco ILIKUWA ni safari ya umbali mrefu wa kilometa 3,000 akitoka Paris, Ufaransa, hadi nchini Morocco kuzifuata fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi, Gazetini BONDIA Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahisha apania rekodi

Na Winfrida Mtoi, Gazetini BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake la kesho dhidi ya Mnaigeria, Stanley Eribo litakuwa la...

Ake wa Man City agombewa EPL

LONDON, Uingereza KLABU kadhaa za Ligi Kuu ya England (EPL), ikiwamo Bournemouth, zimeonesha nia ya kumsajili beki wa kati aliyepoteza namba katika kikosi cha Manchester...

Kwa Eagles, hata macho ya kengeza yameuona ubora wa Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini NI kweli Tanzania kupitia timu yake ya soka ya taifa 'Taifa Stars' imeuanza vibaya msimu huu wa fainali za Mataifa ya...

Stars yaanza vibaya AFCON, Bacca amficha Osimhen

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza vibaya msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025)...

Endrick rasmi atua Lyon

MADRID, Hispania KLABU ya Lyon ya Ligue 1 imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji kinda wa Real Madrid, Endrick Felipe. Taarifa zinaeleza kuwa Lyon wamemchukua Mbrazil...

Recent articles