Na Mwandishi Wetu, Gazetini
YANGA imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ikiifunga Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5-4 katika mchezo wa fainali uliopigwa Januari...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NYOTA wa zamani wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ametambulishwa rasmi na klabu ya Mbeya City akiwa miongoni mwa...
CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imetangaza usajili wa beki wake wa zamani, Joao Cancelo, na tayari amekabidhiwa jezi namba 2.Barcelona imemchukua nyota huyo kwa mkopo...
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Madrid, Xabi Alonso, amewataka mabosi wa klabu hiyo kuharakisha usajili wa beki wa Tottenham, Cristian Romero.
Romero ndiye mchezaji anayelipwa mshahara...
MADRID, Hispania
KLABU ya Real Madrid ya Hispania leo Jumatatu, Januari 12, 2026, imethibitisha kuachana na kocha wake mkuu, Xabi Alonso, baada ya pande zote...
YOUNDE, Cameroon
KIWANGO kibovu katika kipindi cha kwanza cha mchezo wao dhidi ya Morocco ndicho kilichoigharimu timu ya taifa ya Cameroon, kwa mujibu wa Bryan...
MANCHESTER, Uingereza
KATI ya malejendari hao wa Manchester United, nani anafaa kupewa mikoba ya kuinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu?
Michael Carrick, kama ilivyo...
MANCHESTER, Uingereza
JINA la Oliver Glasner wa Crystal Palace linapewa kipaumbele wakati huu mabosi wa Manchester United wakiwa wanajadili kocha anayefaa kuchukua mikoba ya Ruben...
LONDON, Uingereza
ARSENAL sasa imeingia mazima katika kuiwania saini ya kinda wa Blackburn Rovers, Igor Tyjon. Nyota huyo raia wa England ana umri wa miaka...
MANCHESTER, Uingereza
USHINDI wa mabao 10-1 dhidi ya Exeter City umeifanya Manchester City kuvunja rekodi ya Liverpool iliyodumu kwa miaka 66.
Man City ya kocha Pep...