Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Mama amtoa machozi kipa wa Cape Verde

NEW YORK, Marekani MLINDA mlango wa timu ya soka ya Cape Verde, Vozinha, amesema kutokuwepo uwanjani kwa mama yake ndiyo sababu ya kilio chake baada...

Ancelotti afunguka kilichoiponza Brazil kwa Morocco

NEW YORK, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema sare ya bao 1-1 waliyoipata mbele ya Morocco ilitokana na...

Mtazamo wangu kuhusu uteuzi wa Haji Manara kwa soka la Tanzania

Na Hassan Mwasha Gazetini WIKI kadhaa zilizopita Ofisa habari wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Haji Manara, ameteuliwa na Waziri wa Habari, Sanaa,...

Siri ugomvi wa Van Gaal, Di Maria wakiwa Old Trafford

MANCHESTER, Uingereza ANGEL di Maria alitua Manchester United mwaka 2014 akitokea Real Madrid, usajili wake wa Pauni milioni 59.7 ukivunja rekodi katika soka la Uingereza. Chanzo...

Mateso waliyopitia Liverpool msimu wa 2025-26

MERSEYSIDE, Uingereza LIVERPOOL waliuanza msimu huu wa 2025-26 wakiwa na matarajio makubwa ya kufanya vizuri baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL)...

Haiti: Soka lilivyorejesha tabasamu la muda katikati ya vilio, simanzi

PORT-AU-PRINCE, Haiti HAITI ni Kisiwa kilichopo Caribbean, kikifahamika kwa hali yake mbaya ya usalama kutokana na machafuko yanayosababishwa na utitiri wa magenge ya uhalifu yaliyotapakaa...

Vinicus Jr: Tutarudi kivingine, bado mapema

MEXICO CITY, Mexico WINGA wa timu ya Taifa ya Brazil, Vinicius, amesema sare ya bao 1-1 waliyopata katika mchezo wa kwanza dhidi ya Morocco umewapa...

Madrid wafikia patamu kwa Cucurella

LONDON, Uingereza KLABU ya Real Madrid imefikia makubaliano na beki wa Chelsea, Marc Cucurella, na huenda akatua Santiago Bernabeu baada ya Kombe la Dunia. Cucurella (27),...

Shabiki auawa, mabasi yachomwa moto ubingwa wa NBA

LOS ANGELES, Marekani VURUGU zilizotokana na shangwe la ubingwa wa New Knicks ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani (NBA) zimesabaisha kifo cha shabiki, huku...

Ujerumani yaweka rekodi mpya Kombe la Dunia

NEW YORK, Ujerumani BAADA ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Curacao, timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani imeandika historia mpya katika michuano ya...

Kipigo cha Sweden kufukuzisha kocha Tunisia

NEW YORK, Marekani SHIRIKISHO la Soka la Tunisia linaweza kumfuka kocha wa timu yake ya Taifa, Sabri Lamouchi. Taarifa hizo zinakuja baada ya Tunisia kupoteza mchezo...

Irankunda: Kutoka kambi ya wakimbizi Tanzania hadi rekodi Kombe la Dunia

TORONTO, Canada WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea Marekani, Mexico na Canada, jina la kinda Nestory Irankunda limeandika historia mpya katika michuano hiyo. Ni...

Recent articles