LONDON, Uingereza
ALIPOTEULIWA kuinoa Tottenham, kocha Roberto De Zerbi alikiri wazi mbele ya waandishi wa habari, kwamba ana bahati mbaya kuajiriwa wakati ambao timu timu...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
BAO pekee la Elie Mpanzu katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji limeiwezesha Simba kushika usukani wa msimamo wa Ligi Kuu Bara...
LONDON, Uingereza
UKIWEKA kando Arsenal kutwaa ubingwa, msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL) umeshuhudia viwango bora vya wachezaji waliosajiliwa na klabu mbalimbali.
Nyota hao...
MANCHESTER, Uingereza
PEP Guardiola amekamilisha projekti aliyopewa wakati anaajiriwa na Manchester City mwaka 2016. Kuifanya klabu hiyo kuwa tishio barani Ulaya. Amefanikiwa.
Wakati huu akijiandaa kuondoka,...
NYON, Uswis
HIVI unafahamu kuwa zimeshafungwa 'hat-trick' 54 katika historia ya michuano ya soka ya Kombe la Dunia kwa wanaume tangu ilipoanza mwaka 1930?
Chukua hiyo....
MADRID, Hispania
KIPA wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas, ameibuka na majina ya makocha 10, ambao amesema wanastahili kuajiriwa na klabu hiyo kuliko kumpa...
MANCHESTER, Uingereza
PEP Guardiola anaondoka Manchester City, klabu aliyoinoa kwa mafanikio makubwa tangu ilipomuajiri mwaka 2016 akitokea Bayern Munich ya Bundesliga.
Kwa upande mwingine, miaka yake...
LONDON, Uingereza
WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...
WASHINGTON DC, Marekani
TAARIFA kutoka Ikulu ya Marekani imeeleza kuwa wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya DRC watatakiwa kukaa karantini kwa siku 21...