Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Kriketi ilivyolificha soka nchini India

NEW DELHI, India INDIA ni Taifa lenye watu bilioni 1.45 lakini nafasi yake kwenye viwango vya ubora wa soka vya FIFA ni 138. Mchezo huo...

Vita ya makocha wapya EPL 2026-27

LONDON, Uingereza MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) utaanza Agosti 21, 2026, ukitarajiwa kumalizika Mei 30, 2027. Ni msimu wa 35 tangu michuano...

Mjukuu wa Idi Amin na ndoto za ‘kuiteka’ dunia

KAMPALA, Uganda NDOTO kubwa aliyonayo Aziz Abdul, ambaye ni mjukuu wa Rais wa zamani wa Uganda, Idi Amin, ni kuiteka dunia kupitia mchezo wa ngumi....

Klabu 5 zinazomsubiri Ferran Torres

LONDON, Uingereza KATIKA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizomalizika hivi karibuni, Ferran Torres ndiye aliyefunga bao pekee lililoipa ubingwa timu ya...

Italia ya ‘mababu’ Mancini, Ranieri itavuna nini?

MILAN, Italia ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...

Amorim: Sikuwa peke yangu kuifelisha United

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim, amedai kuwa hapaswi kulaumiwa kwa kufeli kwake klabuni hapo. Kwa mujibu wake, lawama zinapaswa kuelekezwa kwa...

Peter Shalulile amekuja na viatu vyake vya mabao?

Na Hassan Mwasha KATIKATI ya ushindani wa Kaizer Chiefs, Orlando Pirates, Scottland FC na Pyramids, Yanga imeweza kumnyakua straika aliyeondoka Mamelodi Sundowns, Peter Shalulile. Yanga wameishitua...

Alonso afunga mjadala kuhusu Welbeck

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, amezipotezea taarifa zinazoihusisha klabu hiyo na usajili wa straika wa zamani wa Arsenal, Danny Welbeck. Wakati huo huo, Mhispania...

Chicharito atua Daraja la Kwanza

DALAS, Marekani UNAMKUMBUKA straika wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya soka ya Taifa ya Mexico, Javier Hernandez ‘Chicharito’? Mwamba bado anakipiga. Akiwa...

Arsenal, Vinicius Jr dili lao liko hivi

LONDON, Uingereza WAKATI huu Real Madrid ikijaribu kumshawishi Vinicius JR kusaini mkataba mpya, Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil. Huu ni...

Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?

Na Hassan Mwasha MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara utaanzia Agosti 14, 2026. Ni msimu wa 2026-27, ambao utakuja na sura mpya kabisa katika historia...

Wanasiasa wamnyima kibarua kocha Italia

MILAN, Italia ANDREA Pirlo amesema hawezi tena kupewa kibarua cha kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Hiyo imesababishwa na wanasiasa. Iko hivi; Pirlo ni...

Recent articles