MANCHESTER, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, amesifia aina ya uchezaji wa timu hiyo chini ya kocha mpya raia wa Italia, Enzo Maresca.
Semenyo ametoa...
MANCHESTER, Uingereza
PIGO zito! Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya klabu ya Manchester United, Marc Skinner, amejiuzulu, zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya...
NYON, Uswis
MAMBO hayuko vizuri kwa Rais Gianni Infantino. Ameachana na mpango wake wa kuuza hisa za michuano ya FIFA, ikiwamo Kombe la Dunia, baada...
LOS ANGELES, Marekani
KUDUMU muda mrefu kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa si jambo rahisi, hasa unapokuwa na jina na mafanikio makubwa. Mastaa wengi...
NYON, Uswis
WACHEZAJI wapatao sita wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina huenda wakafungiwa kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwaka 2030.
Kwa...
NYON, Uswis
HATIMAYE Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuachana na mpango wake wa kuuza hisa za Kombe la Dunia...
PRETORIA, Afrika Kusini
LICHA ya kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' kufika hatua ya mtoano katika fainali za Kombe la...
LONDON, Uingereza
HUENDA kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, akaachia ngazi katika benchi la ufundi la timu hiyo, kwa mujibu wa mwandishi wa habari maarufu,...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewaahidi makubwa mashabiki wa timu hiyo, akisema watarajie tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL).
Arsenal walimaliza msimu...
LAGOS, Nigeria
SUPASTAA wa Afrobeats, Burna Boy, amemtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mchezaji wake bora, akiwatupa kando Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Katika mahojiano yake...
MADRID, Hispania
BAADA ya miezi mingi ya tetesi, ni rasmi sasa Yan Diomande amejiunga na Real Madrid akitokea RB Leipzig ya Ligi Kuu nchini Ujerumani...