Na mwandishi wetu, Gazetini
WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyolenga kukuza...
RIO, Brazil
SERIKALI ya Brazil imewanyima vibali vya kuingia nchini humo viongozi wawili waandamizi wa Serikali ya Rais Donald Trump.
Viongozi hao waliomba viza ya kuingia...
RIYADH, Saudi Arabia
BONDIA wa ngumi za uzito wa juu, Anthony Joshua, amempiga kwa KO ya raundi ya pili Kristian Prenga, pambano lililopigwa mjini Jeddah,...
LONDON, Uingereza
LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Angel Di Maria, amemtaka Lionel Messi kuachana na wazo la kutundika daluga.
Di Maria amekuja...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo wa Cardiff City, Axel Donczew, ambaye ni 'bwana mdogo' mwenye umri wa miaka 16.
Kwa mujibu wa...
MUNICH, Ujerumani
WIKI chache zilizopita, alikuwa kwenye meza ya uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia akiishuhudia timu yake ya Taifa ya Ujerumani ikiondoshwa na...
OSLO, Norway
SHIRIKISHO la Soka la Norway (NFF) limetangaza nia yake ya kumshitaki Rais Donald Trump kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Norway wanapeleka barua...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BAO la kisigino! Ndivyo unavyoweza kuita baada ya Simba kumtambulisha winga wa kimataifa wa Afrika Kusini, Keletso Makgalwa.
Nyota huyo aliyecheza Sekhukhune...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA kujipanga kwa ajili ya msimu ujao wa 2026-27, benchi la ufundi la Simba Queens limewapa mkono kwa kwaheri nyota wake...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa Arsenal raia wa Ureno, Fabio Vieira, anajiandaa kuondoka klabuni hapo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa.
Nyota huyo mwenye umri wa...
MADRID, Hispania
KLABU ya Real Madrid imewasilisha ofa yake ya Pauni milioni 85 kwa RB Leipzig wakiitaka saini ya winga wa klabu hiyo ya Bundesliga,...