ZEIST, Uholanzi
KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...
KINSHASA, DRC
WAWAKILISHI wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Kundi la waasi la M23 wamekutana mjini Geneva, Uswis, na kukubaliana kuweka...
As the scope of humanitarian crises continues to expand worldwide, World Humanitarian Day serves as a reminder that behind the statistics of wars and...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya tisa, tuliishia pale bi. Madina alipomuomba Yoweri Museveni amruhusu Idi Amin kurudi Uganda. Rais huyo akasema ‘Idi Amin...
Na mwandishi wetu, Gazetini
“KAMA hamtaki kupigana, nitapigana peke yangu.” Ni kauli aliyoitoa Idi Amin kuwaambia wanajeshi wake waliomfuta Machi, 1997, wakimuomba ajiuzulu baada ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya saba, tuliona namna Idi Amin alivyoagiza Wakenya waliokuwa wakiishi Uganda kuuawa, akiamini nchi hiyo jirani iliwasaidia makomandoo wa...
KYIV, Ukraine
UKIWA ni mwezi mmoja tangu alipojiuzulu katika nafasi yake ya Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov ameibuka na kauli zinazoashiria kuwa amejipanga kumvaa aliyekuwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
RAIA wa kigeni zaidi ya 17,600 wameondoka Afrika Kusini tangu Aprili, 2026 kutokana na vurugu walizofanyiwa na wenyeji wao. ‘Wasauzi’ hawataki...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HOJA ya maridhiano ina umuhimu mkubwa. Ukweli ulio wazi ni kwamba nchi ipo kwenye mkwamo unaohitaji meza ya mazungumzo. Tuzungumze kweli...
LUSAKA, Zambia
KIONGOZI wa siasa za upinzani nchini Zambia kupitia Chama cha National Reconciliation Party for Unity, Brian Mundubile, ameyapinga matokeo yaliyomrejesha madarakani Rais Hakainde...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu iliyopita, tuliona Israel, Uingereza na hata India zikisitisha mahusiano ya kidiplomasia na Uganda ya Idi Amin, huku Libya, Umoja...