Na mwandishi wetu, Gazetini
TULIISHIA wapi? Katika sehemu ya tano ya makala haya, tuliishia tukio la Juni 25, 1976, ambapo Baraza la Ulinzi la Uganda...
TEHRAN, Iran
JESHI la Mapinduzi ya Kiislam la Iran (IRGC) limejipanga kujibu mapigo kwa Marekani iliyotangaza 'kiama cha uchumi' kwa nchi hiyo ya Mashariki ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA miaka mitatu mfululizo tangu aliposajiliwa mwaka 2023, amekuwa kwenye kiwango kile kile kutoka mechi moja hadi nyingine. Na inapotokea siku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
VURUGU na chuki dhidi ya wageni zina uhusiano wa moja kwa moja na maisha magumu walionao wananchi wa Afrika Kusini katika...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI fulani, Peoples Democratic Party (PDP) kilikuwa Chama tawala nchini Nigeria. Chama kikongwe kilichoasisiwa mwaka 1998.
Kwa miaka 16, kabla ya kuangushwa...
LAGOS, Nigeria
KAMPENI kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Januari, 2027, zilianza wiki hii nchini Nigeria. Rais aliyeingia madarakani mwaka 2023, Bola Tinubu, anagombea muhula wake wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIKU tatu tu baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kuua wenzake nane kwa kuwamiminia risasi, lilitokea tukio jingine lenye...
NEW YORK, Marekani
ANAITWA Francis Clifford Smith. Alipofariki Juni, 2026, alikuwa ndiye mfungwa mwenye umri mkubwa zaidi nchini Marekani. Miaka 101.
Smith alihukumiwa kwa makosa ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Afya katika uongozi wa Idi Amin, Henry Kyemba, alisimulia kupitia Kitabu chake cha 'State of...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona namna Idi Amin akiwa Mkuu wa Majeshi alivyopindua Serikali ya Rais...
NEW YORK, Marekani
MAPEMA wiki hii, Katibu Mkuu wa Marekani, Marco Rubio, aliijia juu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akiita kuwa ni yenye kuendeshwa...
MOSCOW, Urusi
MWANASIASA mwandamizi wa upinzani kupitia Chama cha Yabloko, Lev Shlosberg, anafahamika kwa matamko yake ya kuikosoa Serikali ya Rais Vladimir Putin.
Kati ya mambo...