RABAT, Morocco
LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake.
Misri...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...
RABAT, Morocco
UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri.
Ratiba...
LONDON, Uingereza
BAADA ya kuvunja mkataba wake, Chelsea wamelazimika kumlipa Enzo Maresca kitita cha Pauni milioni 10, kwa mujibu wa Gazeti la Sun.
Kocha huyo raia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RAIS Donald Trump ameweka wazi kuwa Marekani inakihitaji kwa namna yoyote ile kukiweka chini ya himaya yake Kisiwa cha Greenland.
Kauli hiyo...
LONDON, Uingereza
UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior.
Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...
MANCHESTER, Uingereza
HATIMAYE Manchester United wamemfuta kazi Ruben Amorim. Mreno huyo ameondoka akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa miezi 14 pekee tangu alipoajiriwa akitokea...
MANCHESTER, Uingereza
WIKI iliyopita, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alisema klabu hiyo inapaswa kujiandaa na maisha mapya bila uwepo wake kwenye benchi la ufundi.
Mhispania...