Ads: info@gazetini.co.tz |
21.9 C
Dar es Salaam

Makala

Mawani yanayosaidia wanaopoteza kumbukumbu

LOS ANGELES, Marekani KAMPUNI maarufu ya Animorph Co-operative imemtambulisha mawani ya kisasa, ambayo yatawasaidia wanaokabiliwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Hata hivyo, Szczepan Orlins, ambaye...

Maisha, mikasa ya Bob Marley (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya maisha ya Bob Nesta Marley ina mengi ya kusisimua, ikiwa ni safari iliyoanzia Februari 6, 1945 na kufikia tamati...

April Francis; Mrembo wa Wan-Bissaka anayekaribia kutupwa gerezani

LONDON, Uingereza JINA la April Francis limetikisa vichwa vya habari za michezo nchini Uingereza baada ya mpenzi huyo wa beki wa West Ham United, Aaron...

Ni kweli wahitimu vyuo vikuu hawahajiriki?

Na mwandishi wetu, Gazetini SUALA la kupata nafasi ya ajira baada tu ya kumaliza masomo limekuwa 'pasua kichwa' kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu. Si...

Historia ya siasa za ‘Banana Republic’

Na mwandishi wetu, Gazetini 'BANANA', kama inavyotamkwa kwa Kiingereza, ni neno lenye maana ya 'ndizi' kwa tafsiri ya lugha ya Kiswahili. Katika duru za kisiasa, 'Banana...

Usiyoyajua kuhusu Siku ya Elimu Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini JANUARI 24 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Elimu. Siku ambayo jamii hukumbushwa juu ya umuhimu wa elimu bora kwa...

Visual| Usajili wa watangazaji mapinduzi na hamahama kwenye redio Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka ya hivi karibuni, wamiliki wa vituo vya redio na runinga hapa nchini wameshuhudiwa wakitunishia msuli wa fedha kwa kunyang'anganya...

Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi-2

WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala la madai ni...

Visual| Makocha bora 10 wa muda wote EPL

LONDON, Uingereza KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...

Nicola Peltz; Mkwe anayeivuruga familia ya Beckham

LOS ANGELES, Marekani Kwa sasa, mtoto wa kiume wa Beckham, Brooklyn, haongei na baba wala mama yake. Kama hiyo haitoshi, alishahama nyumbani kwao na kujiweka...

Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala...

Sadio Mane anavyoibeba mabegani Senegal

DAKAR, Senegal WAKATI timu ya taifa ya Senegal inatwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kuifunga Misri mwaka 2021, Sadio Mane ndiye...

Recent articles