Na Hassan Mwasha, Gazetini
UNAJIULIZA kwanini hujapigiwa simu ya kuitwa kazini licha ya kuhisi ulifanya vizuri Siku ya usahili (interview)? Tulia.
Huenda tatizo si uwezo wako...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna taifa linaloweza kubaki nyuma katika dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia, akili bandia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MATUMIZI ya mirungi yana historia ndefu barani Afrika, yakitajwa kuanza miaka mingi iliyopita katika nchi za Ethiopia, Eritrea, Kenya na Somalia.
Mirungi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI imezindua rasmi programu ya mafunzo ya uongozi...
GILGIL, Kenya
MOTO ambao chanzo chake hakijafahamika umeripotiwa kusababisha vifo vya watu 16, wengi wao wakiwa ni wanafunzi, katika shule ya bweni ya Sekondari ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MEI 23, kama ambavyo hufanyika kila mwaka, Dunia inaadhimisha Siku ya Fistula itokanayo na uzazi, ambayo husababisha kwa asilimia 90 visa...
Na Hassan Mwasha
MEI 27, 2026, waumini wa Dini ya Uislam wa Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar wataungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu, Nasria Nasri Ally, ameishauri Serikali kujenga shule jumuishi katika kila mkoa...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepanga kujenga madarasa 1,360 ili kuimarisha utekelezaji wa sera ya elimu ya miaka 10 ya...
Na Ramadhan, Hassan, Gazetini
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeiomba Bunge kuidhinisha jumla ya Sh trilioni 2.39 kwa mwaka wa fedha 2026/27...