LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Misri, Mohamed Salah, amewashukuru mashabiki na klabu ya Liverpool kwa kumtia moyo na kumpa kipindi bora zaidi cha maisha yake, baada...
Watu 15 wamekamatwa nchini Nigeria kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa wanawake katika tamasha la kitamaduni lililofanyika jimbo la Delta.
ABUJA, Nigeria
POLISI nchini Nigeria wamewakamata watu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MACHI 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Misitu Duniani kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua mchango mkubwa wa misitu katika...
LONDON, Uingereza
KICHAPO cha mabao 3-0 kutoka kwa Everton kimeendeleza wimbi baya linaloiyumbisha Chelsea.Kabla ya kupoteza mchezo huo wa Ligi Kuu, Blues iliondoshwa kwenye michuano...
LONDON, Uingereza
TANGU walipotwaa ubingwa mwaka 2006, timu ya taifa ya Italia haijavuka hatua ya makundi katika fainali za Kombe la Dunia.
Na badala yake, imeishia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, amekutana na kufanya...
DARFUR, Sudan
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kutokea kwa shambulio jingine dhidi ya huduma za afya nchini Sudan, safari hii likilenga Hospitali ya Kufundishia...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
SHERIA ya Tanzania haitambui kila kifo cha mtoto tumboni kama murder. Ili kosa la murder lisimame, lazima marehemu awe ametambulika...
Na mwandihi wetu, Gazetini
WAKATI Dunia leo Machi 22, 2026 ikiadhimisha Siku ya Maji, Muungano wa Afrika (AU) umeweka wazi dhamira yake ya kuhamisha mjadala...
Na mwandishi maalum, Gazetini
IBADA ya kuadhimisha miaka 42 tangu kuanzishwa kwa Shincheonji Kanisa la Yesu imefanyika Machi 15 katika Kanisa la Cheongju, Korea Kusini,...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
KWA mujibu wa kifungu cha 15, mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18 hawezi kushikiliwa kikamilifu kwa adhabu zinazohusiana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, amewahimiza watumishi wa ofisi hiyo kuongeza...