Ads: info@gazetini.co.tz |
27.6 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Partey aibukia La Liga

LONDON, UingerezaBAADA ya kuachana na Arsenal, kiungo wa kimataifa wa Ghana, Thomas Partey, amemalizana na Villarreal ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga).Partey aliyewahi...

Makocha hawa presha tupu EPL

LONDON, UingerezaNI takribani wiki mbili pekee zimebaki kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) kuanza.Msimu uliopita, makocha nane walifungashiwa virago, wa...

Uingereza yaporomoka viwango vya unywaji pombe duniani

LONDON, Uingereza KIWANGO cha unywaji wa pombe nchini Uingereza kimepanda kwa asilimia 10 kwa kipindi cha hivi karibuni. Ulevi ni tatizo kubwa nchini humo, ambapo...

ADF tishio jipya la ugaidi Afrika Mashariki?

KINSHASA, DRCWIKI iliyopita, watu wenye silaha walioripotiwa kuwa ni wapiganaji wa Kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kanisa mjini Komanda, Jamhuri ya...

Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema

LONDON, Uingereza KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....

Utafiti: Hewa chafu husababisha kupoteza kumbukumbu

LONDON, Uingereza HEWA chafu ni moja ya sababu zinazoweza kuathiri uwezo wa ubongo wako kutunza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha...

Maswali 6 yanayosubiri majibu EPL 2025-26

LONDON, England MSIMU ujao wa 2025-26 uko njiani, ukitarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi ujao. Ni Ligi Kuu ya England (EPL), michuano ya soka inayotajwa kufuatiliwa...

Victor Gyokeres kuibeba Arsenal msimu ujao?

LONDON, England KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, aliingia sokoni majira haya ya kiangazi akihitaji straika. Msako wake umeinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden,...

Usiyoyajua kuhusu biashara ya meno ya tembo

PRETORIA, Afrika Kusini TEMBO wanatajwa kuwa ndiyo wanyama walio hatarini zaidi katika vitendo vya ujangili duniani kote, huku Afrika ikichomoza katika takwimu hizo. Kwa mujibu wa...

Ugumu wa mitihani chanzo wanafunzi kujiua India

NEW DELHI, India TAKWIMU za wanafunzi 13,000 kujiua kila mwaka zimewaibua wataalamu wa afya ya akili nchini India, wakizitaka mamlaka kuamka na kuchukua hatua za...

Awashitaki wazazi kisa kumzaa bila ridhaa yake

NEW DELHI, India INAWEZA kukushangaza kidogo. Huenda pia ikakufikirisha, achilia mbali kuhisi ni simulizi ya kuikirika tu. La hasha! Ni kisa cha kweli kabisa. Kijana raia...

Firmino aondoka Saudia, aibukia Qatar

DOHA, QatarMABINGWA wa Ligi Kuu ya Qatar, Al Sadd, wamemsajili na kumpa mkataba wa miaka miwii mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Roberto Firmino.Nyota huyo...

Recent articles

spot_img