TEHRAN, Iran
MAKAO Makuu ya Jeshi la Iran yamekuja na tamko zito, kwamba Marekani itaingia kwenye shida endapo itaendelea kuingilia udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kauli...
BEIRUT, Lebanon
WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Syria, Asaad al-Shaibani, yuko nchini Lebanon, ambapo amesema wako tayari kukaa mwezani na wapiganaji wa Kundi la...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa kipa aliyeondoka Leeds United baada ya kumaliza mkataba wake, Illan Meslier.
Kocha wa...
LONDON, Uingereza
NI nahodha wa West Ham United, Jarrod Bowen, ambaye si tu Manchester United, bali pia Liverpool na Chelsea nazo zinaimezea mate saini yake.
Mshambuliaji...
MIAMI, Marekani
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ubelgiji, Rudi Garcia, amesema nahodha wake, Youri Tielemans, ndiye mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa katika...
TORONTO, Canada
MKONGWE wa soka la Liberia, George Weah, ambaye ni Mwafrika pekee kuwahi kubeba Ballon d'Or, amesema Kylian Mbappe ni bora kuliko Lamine Yamal.
Weah...
WASHINGTON DC, Marekani
JULAI 4, 2026, Marekani itasherehekea miaka 250 tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1776 kutoka kwa Uingereza.
Hata hivyo, 'birthday' inakuja wakati Taifa hilo...
LOS ANGELES, Marekani
GUMZO kubwa katika tasnia ya burudani nchini Marekani ni ndoa ya bibiye Taylor Swift na mpenzi wake, Travis Kelce, huku mashabiki wa...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ametoa siku 90 kwa vikundi vyote vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10 kutoka halmashauri...