CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona inaangalia uwezekano wa kuiambia Manchester United imchukue mshambuliaji wake raia wa England, Marcus Rashford.Rashford alijiunga na Barcelona kwa mkopo akitokea...
MERSEYSIDE, England
LIVERPOOL ndiyo klabu ya Ligi Kuu ya England iliyotumia fedha nyingi zaidi wakati wa dirisha kubwa la usajili wa kiangazi barani Ulaya.
Usajili huo...
MIAMI, MarekaniMSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez, amefungiwa mechi sita baada ya kitendo chake cha kumtemea mate kocha wa timu pinzani.Suarez alimfanyia hivyo...
KINSHASA, DRCUMOJA wa Mataifa umezionya pande mbili zinazopigana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ukisema zinahusika katika uhalifu wa kivita nchini humo.Licha ya...
PARIS, UfaransaNAHODHA wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, amefikisha mabao 51 akiwa na kikosi hicho, akiifikia rekodi ya Thierry Henry.Mbappe aliandika historia...
NYON, UswisWAKONGWE wa soka, George Weah na Didier Drogba, wameteuliwa kuingia kwenye jopo la wachezaji 16 wa zamani watakaoendesha kampeni ya kupinga vitendo vya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
UTAFITTI mpya nchini Uingereza umebaini kuwa asilimia zaidi ya 65 ya vijana wenye umri chini ya miaka 40 wanakabiliwa na changamoto...
Na mwandishi wetu, GazetiniSARATANI ya kongosho ni ugonjwa unatajwa kusababisha vifo zaidi ya 10,000 kila mwaka. Ni wastani wa mtu mmoja kupoteza maisha kila...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MALENGO ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ya kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa kitovu (hub) cha kuhudumia...
KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetangaza maambukizi mapya ya Ebola na vifo 15 vitokanavyo na ugonjwa huo.Ikumbukwe, hizi ni taarifa...
LOS ANGELES, MarekaniNYOTA wa tenesi raia wa Belarus, Aryna Sabalenka, ametinga hatua ya fainali ya michuano ya US Open inayoendelea nchini Marekani baada ya...
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
MANISPAA ya Ubungo imetengea bajeti ya fedha zaidi ya Sh milioni 28 kwa ajili ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi,...