Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Wirtz sasa kuondoka Liverpool kwa mkopo

MERSEYSIDE, UingerezaMSHAMBULIAJI mpya wa Liverpool, Florian Wirtz, huenda akatimka klabuni hapo ifikapo Januari, mwakani.Licha ya feha nyingi zilizotumika kumng'oa Bayern Leverkusen, Wirtz ameshindwa kung'ara...

Azam hoi, yapigwa tena Shirikisho

Na mwandishi wetu, GazetiniBAO pekee la dakika ya 57 la Nordin Amrabat liliipa Wydad Casablanca uhakika wa pointi tatu za mchezo wao wa ugenini...

Yanga haitanii, yafikisha pointi nne CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniKATIKA mchezo wa jana, JS Kabylie ikiwa nyumbani ilimazilishwa suluhu na Yanga, ukiwa ni mchezo wa Kundi B msimu huu wa...

Chelsea v Arsenal … Refa wa kadi nyingi akabidhiwa ‘shoo’

LONDON, UingerezaCHELSEA watakuwa nyumbani Stamford Bridge kesho kuwaalika Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu, ambao ni 'derby' Jiji la London.Arsenal wanaongoza Ligi wakiwa na...

Vijana na mitazamo tofauti juu ya Waziri Mkuu mpya

TOKYO, JapanKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Japan, Sanae Takaichi amekuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi nyeti ya Waziri Mkuu.Wakati huo...

Kane kuibukia wapi akiondoka Bayern?

MUNICH, UjerumaniTANGU aliyojiunga na Bayern Munich akitokea Tottenham, mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane, amefungia timu hiyo tangu Bundesliga jumla ya mabao 109...

Arsenal ya Arteta na takwimu za kibabe

LONDON, UingerezaUSHINDI wa mabao 3-1 dhidi ya Bayern Munich ni ujumbe mzito wa Arsenal kwa wapinzani wao msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya...

Kenya yaongoza nguo za mitumba Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI wa Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT) umebaini kuwa Kenya kwa sasa ndilo taifa linaloagiza kwa kiasi kikubwa zaidi nguo...

Kampuni ya Apple na utata wa madini, vita DRC

Na mwandishi wetu, GazetiniKAMPUNI maarufu ya teknolojia ya Apple inakabiliwa na kashfa nzito ikitajwa kunufaika na mgogoro wa muda mrefu unaoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia...

Guinea-Bissau na historia ya mapinduzi ya kijeshi

Na mwandishi wetu, GazetiniSIKU chache zilizopita, maofisa waandamizi wa jeshi nchini Guinea-Bissau walitangaza kuipindua Serikali ya Rais Umaro Sissoco Embalo. Ni hatua iliyofuatiwa na...

Simba ni ‘do or die’, hesabu kali huko Mali

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kupoteza mechi yao ya kwanza ya hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa, Simba inahitaji ushindi wikiendi...

Sobhi afungiwa miaka minne kucheza soka

CAIRO, MisriKIUNGO wa zamani wa Stoke City na Huddersfield Town, Ramadan Sobhi, amefungiwa kucheza kandanda kwa kipindi cha miaka minne.Nyota huyo raia wa Misri...

Recent articles

spot_img