Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mambo 5 kuhusu kocha mpya Simba

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE ni Steve Barker ndiye aliyetangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Simba akichukua mikoba ya Dimitar Pantev aliyefungashiwa virago wiki chache...

Yanga, Injinia Hersi; ‘win-win situation’ iliyorudisha chenji

Na Hassan Mwasha, Gazetini 'Win-win situation' ni nini? Ni pale pande mbili au zaidi zilizo kwenye mahusiano au ushirika wa kibiashara zinaponufaika kwa pamoja, pasi...

Arsenal, Chelsea kukutana robo fainali Ligi ya Mabingwa?

LONDON, Uingereza NI Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa soka la wanawake, ambapo huenda hatua ya robo fainali ikawashuhudia mabingwa watetezi, Arsenal, wakavaana na Chelsea. Hata hivyo,...

Kifo cha kiongozi wa maandamano chazua vurugu Bangladesh

DHAKA, Bangladesh VURUGU kubwa zimeibuka nchini Bangladesh baada ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa mandamano ya mwaka jana yaliyomng'oa madarakani Waziri Mkuu, Sheikh Hasina. Sharif Osman...

Mataifa yenye ng’ombe wengi kuliko watu

Na mwandishi wetu, Gazetini HII inaweza kushangaza lakini takwimu zinathibitisha kuwa yapo mataifa ambayo idadi ya ng'ombe ni kubwa kuliko ile ya watu wake. Kupitia mtandao...

‘Hatuna mgogoro, Wanasimba msisikilize porojo’

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amekanusha taarifa za kuwapo kwa mgogoro kati ya viongozi, akisema ni upotoshaji unaifanywa kwa...

Uchafuzi wa mazingira janga la dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini TAKWIMU za sasa, kwa mujibu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), uchafuzi wa mazingira umeongezeka kwa kasi katika...

Simulizi ya kusikitisha wafanyakazi wa ndani Lebanon

SHATILA, Lebanon LEBANON imetajwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni 'jehanamu' kwa baadhi ya raia wa kigeni wanaoingia nchini humo kwa lengo la...

Serikali yamkalia kooni bilionea Chelsea

LONDON, Uingereza SERIKALI ya Uingereza imemtaka mmiliki wa zamani wa Chelsea, Roman Abramovich, kuchagua kati ya kuichangia Ukraine kiasi cha Pauni bilioni 2.5 au kukubali...

Yaliyojiri tuzo za FIFA, Dembele abeba tena

DOHA, Qatar MSHAMBULIAJI wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Ousmane Dembele, ameibuka mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka huu wa Shirikisho...

Samatta na vita yake AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA kuna alama isiyofutika na itakayobaki kwa miaka mingi katika historia ya soka la Tanzania, basi ni kile alichokifanya Mbwana Samatta. Mchezaji...

Mbappe bado bao moja tu

MADRID, Hispania STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amebakiza bao moja kufikia rekodi ya mkongwe wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo. Katika mchezo wa jana Desemba 17,...

Recent articles

spot_img