Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Rais Mwinyi awatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Idara  Maalum za SMZ

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalum za SMZ, Dk. Hussein Ali...

Waziri Mkuu awapongeza watendaji wa Serikali kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri mkuu  Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais  Samia Suluhu Hassan amekuwa nguzo ya kuimarisha mshikamano na umoja wa kitaifa na kufanikisha maendeleo katika...

Bunge  laridhia marekebisho mpaka wa  Hifadhi ya Nyerere

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka...

Yanga Bingwa Ligi Kuu msimu wa 2024/25

Na Mwandishi Wetu Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuichapa Simba mabao 2-0, kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es...

Tanzania, Msumbiji  kuimarisha uhusiano kibiashara 

Na Mwandishi Wetu Rais Samia  Suluhu Hassan, amesema  Tanzania itaendelea kushirikiana na   Msumbiji katika  kuleta maendeleo , ustawi wa wananchi  ikiwamo kuimarisha  uhusiano kibiasharana  baina ya nchi hizo mbili na  kukuza mshikamano barani...

Wanaume wana haki ya kulindwa- IGP Wambura

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa...

Sinema mpya yaanza  kuelekea mechi ya Dabi kesho, Simba yakimbia mkutano wa wanahabari

Na Mwandishi Wetu Picha iliyotumwa na klabu ya Simba kwenye mitandao yao ya kijamii ni ujumbe  tosha baada ya kocha wao Fadlu Davis na nahodha...

Rais Mwinyi kuvunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atalivunja rasmi Baraza la Kumi la Wawakilishi...

Wasira: Uchaguzi Mkuu sio ajali

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue...

Serikali yaajiri watu 137,000 kuongeza mikakati ya afya ya kidijitali

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema inaendelea na dhamira yake ya ushirikiano katika masuala ya afya ulimwenguni, huku ikifanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu, utoaji wa huduma,...

Dk. Mpango ashiriki Misa Takatifu iliyoongozwa na Papa Leo XIV, atembelea kampuni ya Health 3000

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki Duniani kushiriki Dominika...

Watumishi waaswa kuzingatia miiko, maadili ya utumishi wa Umma

Na Mwandishi Wetu Watumishi wa Umma wameaswa kuendelea kuzingatia miiko na maadili ya utumishi wa umma, sera za nchi, sheria, kanuni na miongozo iliyopo ambayo...

Recent articles

spot_img