Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Dk.Jingu awashauri vijana kujiandaa kwa uzee

Na Mwandishi Wetu ‎Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. John Jingu, ametoa wito mahsusi kwa vijana na...

Wagombea  urais watano TFF wapigwa chini abaki  Karia 

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Uchaguzi ya TFF imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina...

Mhudumu wa mochwari mbaroni kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya binadamu

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyohisiwa kuwa ni vya binadamu katika nyumba moja...

Majaliwa  aaga Ruangwa

Na Mwandishi Wetu Waziri mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la...

Aliyekuwa akiombewa amuua mchungaji wake kwa panga

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya...

Lissu awaambia wafuasi wake wajiandae akitoka ni mchakamchaka

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama Cha  Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaambia wasuasi na viongozi wa chama hicho  kuwa wajiandae  kwani  akitoka  ni mchakamchaka. Lissu amezungumza hayo leo Julai...

Makamu wa Rais atoa wito uboreshaji  mfumo wa fedha

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito wa kufanyika maboresho ya mfumo wa fedha na ufadhili wa maendeleo duniani ili kutoa...

Esther Bulaya: Nilikuwa Chadema kwa mkopo nimerejea, CCM ni kama  Barcelona 

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kada wa chama hicho, Esther Bulaya  amesema  alikuwa Chadema kwa mkopo...

Rais Mwinyi aipongeza Yanga, aizawadia  milioni 100

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga  Sh 100 milioni  kwa kutambua ushindi na...

Kihongosi aahidi kutekeleza  alichotumwa na Rais Samia  Arusha

Na Mwandishi Wetu  Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha,  Kenani Kihongosi amesema  atafanya kazi aliyotumwa na Rais Samia Suluhu Hassani na  hataruhusu kikwazo chochote kitakachojaribu kuzuia maendeleo ya...

Rais Samia alitaka Jeshi la Polisi  kukomesha matukio ya watu kupotea, ataja sababu  ongezeko la deni la Taifa

Na Mwandishi Wetu Rais  Samia Suluhu Hassan, ameliagiza  Jeshi la Polisi nchini kuongeza  jitihada katika  kupambana na matukio ya uhalifu, hususan vitendo vya kupotea kwa...

Bondia Debora apania kulipa kisasi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Bondia  wa ngumi za kulipwa nchini, Debora Mwenda, ametangaza vita dhidi ya mpinzani wake Asia Meshack , akiahidi kulipa kisasi katika...

Recent articles

spot_img