Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Nkane, Kibwana wajitosa kwenye ndondi, kuzichapa Julai 26 Dar

Na Mwandishi Wetu Wachezaji wa Yanga, Kibwana Shomari na Denis Nkane wamajitosa kwenye mchezo wa ngumi ambapo Julai 26, 2025 wanatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa katika...

Chelsea abeba ubingwa wa Dunia

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu kwa kuchapa PSG mabao 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa...

Polepole ajiuzulu Ubalozi

Na Mwandishi Wetu Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na nafasi nyingine za uongozi wa Umma kuanzia...

Chalamila atoa wito wa amani kwa viongozi wa dini

Na Imani Nathaniel, Gazetini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi wa dini kutumia lugha ya staha na kuhubiri...

Halopesa yatoa mafunzo ya utafiti wa masoko kwa wanafunzi wa chuo Zanzibar

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Halotel kupitia huduma ya HaloPesa ikishirikiana na timu ya Halotel Business Zanzibar, wamefanya mafunzo ya utafiti wa masoko na kutoa...

Aishi Manula rasmi arejea Azam

Klabu ya Azam imemrejesha golikipa wao wa zamani, Aishi Manula akitokea Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu. Manula ambaye pia ni kipa wa timu...

Fountain Gate FC yabaki Ligi Kuu

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Fountain Gate  imefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu  Tanzania Bara kwa msimu ujao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...

Rais Samia kuzindua Dira ya Taifa ya 2050

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050, Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete...

Tyson wa Bongo afunga mtaa, apiga mkwara

Na Mwandishi Wetu Bondia wa ngumi za kulipwa Hassan Ndonga maarufu Tyson wa Bongo amefunga  Mtaa wa Banda Mabibo, Dar es Salaam kutokana na wingi wa mashabiki waliojitokeza...

Rais Mwinyi aipongeza GF kuibuka mshindi wa jumla Sabasaba

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Gf Trucks & Equipment imeibuka mshindi wa jumla katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba 2025 , kupitia kiwanda chake...

TSA yateua waogeleaji wa kuiwakilisha Tanzania Aquatics Kanda ya III

Na Mwandishi Wetu Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), kimefanya uteuzi wa awali wa waogeleaji watakaoshiriki Mashindano ya Africa Aquatics Kanda ya III, yatakayofanyika Oktoba 16-19,...

Mandonga atambulisha ngumi mpya, King Class, Nasibu Ramadhani moto utawaka

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kuelekea pambano la ngumi la 'Dar Boxing Derby', bondia Karim Mandonga kama kawaida yake, ametambulisha ngumi mpya atakayompigia mpizani wake Shaban...

Recent articles

spot_img