Ads: info@gazetini.co.tz |
28.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Dawa za kulevya tani 30 zaingizwa nchini kama mbolea

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),  imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa tani...

CCM yaomba kuchangiwa bilioni 100 za kampeni

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinahitaji kupata sh 100 bilioni kwa ajili ya shughuli za kampeni kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Busungu achukua fomu kuwania urais

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu. mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa...

‘Met You’ ya Director P yapenya Afrika

Na Mwandishi Wetu Mwimbaji na mwandaaji wa filamu mwenye asili ya Zambia na DR Congo anayeishi nchini Canada, Director P, amesema nyimbo yake mpya...

Taifa Stars yaandika historia CHAN, yatinga robo fainali kibabe

Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeandika historia kwa mara kwanza kwa kutinga robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, ikiichapa...

Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga kuanzia Angola, Simba Botswana

Na Mwandishi Wetu Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga itaanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wiliete Benguela ya Angola...

OKWI ASAJILIWA POLICE FC

Nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi, raia wa Uganda amejiunga na Police FC ya Rwanda akitokea AS Kigali ya nchini humo...

Salum Mwalimu mgombea urais Chaumma, Devota Minja mgombea mwenza

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimemtangaza Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Mfanyabiashara ahukumiwa jela maisha kwa kubaka mtoto wa miaka minne

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Mbozi imemtia hatiani na kumhukumu kifungocha maisha gerezani, mfanyabiashara Athuman Mtibwa (35) na kulipa kiasi cha fidia milioni...

Taifa Stars yaendelea kutoa vichapo CHAN

Na Mwandishi Wetu Bao pekee la Shomary Kapombe dakika ya 89, limeipa ushindi wa 1-0 Taifa Stars dhidi ya Mauritania katika mchezo wa michuano ya...

Maendeleo ya elimu ni mkombozi wa Taifa lolote duniani- Majaliwa

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni mkombozi na mafanikio ya Taifa lolote duniani. Amesema kwa kutambua hilo,...

Dodoma Jiji yatambulisha mrithi wa Maxime, kiungo

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Dodoma Jiji yamtangaza kocha Vincent Mashami kutoka Polisi FC ya Rwanda akichukua nafasi ya Mecky Maxime aliyeondoka mwishoni  msimu uliomalizika. Kwa mujibu...

Recent articles

spot_img