Ads: info@gazetini.co.tz |
28.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Mradi wa umeme Chalinze – Dodoma wamtibua Dk. Biteko

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekasirishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha...

Kijana ahukumiwa jela miaka 30 kwa kubaka mzee wa miaka 80 kichakani

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imemhukumu Said Nawanje (20) mkazi wa Yombo Lukinga, wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela...

Sungusungu kwenda jela miaka 60 kwa kumpa mimba mwanafunzi

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu Faridi Mohamedi maarufu  Sungusungu  kifungo cha miaka 60 jela, kuchapwa viboko sita...

Askari Polisi feki wakamatwa Pemba

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya askari Polisi wa kitengo cha uchunguzi wa magari...

Jeshi la Polisi  lakabidhiwa mashine ya kuweka alama silaha

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi nchini limekabidhiwa mashine maalumu ya kuweka alama silaha zilizopo nchini ikiwa ni hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kuzuia uzagaaji wa...

Ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa shambulio la aibu kwa mtoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...

Wauza miwani wafundwa

Na Mwandishi WetuWafanyabiashara ya miwani nchini wametakiwa kizingatia sheria na kuacha kuuza kuholela  ikiwamo kuchanganya na bidhaa nyingine kwani  miwani ni tiba hivyo inaweza...

CCM Kunduchi yamkabidhi Urio fomu ya kugombea udiwani

Na Mwandishi Wetu Mgombea wa udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata Kunduchi, Michael Urio leo Agosti 18, 2025 amechukua fomu ya kutetea nafasi yake...

Wizara yateua viongozi wa muda Kamisheni ya Ngumi

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mwandishi wa habari, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kamisheni...

Mwakinyo aahidi burudani ya masumbwi Mwanza, ataka  mrithi wake atoke huko

Na Mwandishi Wetu, Gazetini BONDIA wa Kimataifa wa  ngumi za kulipwa Tanzania, Hassan Mwakinyo anatarania kupanda ulingoni Desemba 26, 2025, jijini Mwanza, huku akitamani kupata...

Yanga yaomba radhi mashabiki,yafafanua kuhusu mchango wa milioni 100 CCM

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Yanga imewaomba radhi mashabiki wake na kutoa kuhusu fedha kiasi cha sh 100 milioni walizotoa mchango katika harambee ya kuchangia...

Dodoma Jiji yaachana na Ajibu

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Dodoma Jiji imeachana na mchezaji Ibrahim Ajibu aliyejiunga na timu hiyo msimu uliopita. Tangu klabu hiyo imemtangaza kocha mpya, Vincent Mashami...

Recent articles

spot_img