Na Mwandishi Wetu
Msanii Nurdin Bilal maarufu Shetta, ameshinda kwenye kura za maoni ya kugombea udiwani Kata ya Mchikichini, Ilala, Dar es Salaam kupitia CCM.
Katika...
Na Mwandishi Wetu
Mgombea wa udiwani Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam anayetetea nafasi yake Michael Urio ameibuka kinara katika kura za maoni kwa...
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa Bongofleva, Abdulaziz Abubakar ' Dogo Janja', ameongoza katika kura za maoni ya udiwani katika Kata Ngarenaro, mkoani Arusha kupitia Chama...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Simba leo Julai 30, 2025, imemtambulisha Alassane Kante raia wa Senegal , akitokea CA Bizertin ya Tunisia.
Kiungo huyo mkabaji mwenye...
Na Mwandishi Wetu
Taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetakiwa kufanya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amejata majina ya wagombea sita wa Jimbo...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Saidi ameshindwa kupenya katika uteuzi wa awali wa wagombea ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia Chama...
Na Mwandishi Wetu
Watoto watano waliokuwa wanalelewa katika kituo cha watoto yatima cha Igambilo Manispaa ya Tabora, wamefariki dunia baada ya bweni walililokuwa wamelala kuteketea...
Na Mwandishi Wetu
Hatimaye ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau, wapenzi wa ngumi imefika ambapo kesho yatapigwa mapambano ya ngumi za kulipwa ‘Dar...
Na Mwandishi Wetu
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeahidiwa kiasi cha fedha shilingi bilioni moja kama zawadi, ikifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Jumanne Kibagi, mkazi wa kijiji cha Nyarufu wilayani Bunda kwa tuhuma za kumuua mama mkwe...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Wilaya ya Babati mkoani Manyara limewataka vijana kuacha tabia ya kukaa vijiweni na kucheza pool table asubuhi badala yake wajishughulishe...